Mnakosaga kazi mnaanza kugogo ujinga..Diamond kakupiga bao hata mkusanyane koo ya ubabani na umamani kwenu mchanganye pesa zote mlizowahi , mlizonazo na mtakazo kuja shika.Wewe bisha kwa raha zako ila google ni rafiki yako.View attachment 1841359
Mawazo ya kimaskini sana haya, nini kinakufanya uamini mimi familia yetu tuko ivyo?Mnakosaga kazi mnaanza kugogo ujinga..Diamond kakupiga bao hata mkusanyane koo ya ubabani na umamani kwenu mchanganye pesa zote mlizowahi , mlizonazo na mtakazo kuja shika.
Naunga mkono hoja maana hizo saa zina range $80,000 - $2millionHata hiyo ya swizz beat inaweza kuwa fake tu siwaaminigi hawa wasanii.
Swizz hawezi kuvaa feki hadharani watu wanazoom alafu wanaichambua inajulikana tu kama feki au OG, msanii wetu yeye anavaa feki anajua maboya hawajui kitu hapa tandaleNaunga mkono hoja maana hizo saa zina range $80,000 - $2million
Na walionazo wako kwenye list [emoji2][emoji2]
Kuna jamaa hapo anavaa ya $ 18 millions eeh maisha hayaView attachment 1841436
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichoandika ndio ukweli. Ishi humoMawazo ya kimaskini sana haya, nini kinakufanya uamini mimi familia yetu tuko ivyo?
Sawa.Tukiona feki tunajua ni feki usitufundishe kazi boya iyo ni yenyewe
Kitu chakawaida sana kwa wamarekani, embu machek lil uzi ndio utamshangaaSaa Billion 5!? Au typing errors!?
Kama na kaa na kulala kwa WAZAZI WAKO WEWE sawa.Josefu" umezaliwa mwaka 1989... ni vyema ukaanza mipango ya kuhama nyumbani kwa wazazi.
...
uchawa sio ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una miaka 33 sasa Josefu..... it's a time now to cut that umbilical cord.Kama na kaa na kulala kwa WAZAZI WAKO WEWE sawa.
Sawa kama NALALA NA KULA KWENU KWA WAZAZI WAKO sawa.Una miaka 33 sasa Josefu..... it's a time now to cut that umbilical cord.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda sana kudandia mambo aisee,Billion 5 unaijua ww au unaongea tu!!
Swizz hawezi kuvaa feki hadharani watu wanazoom alafu wanaichambua inajulikana tu kama feki au OG, msanii wetu yeye anavaa feki anajua maboya hawajui kitu hapa tandale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahaha
Mtu anamponda wakati yeye kwenda hapo
Burundi mtihani
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni wajuzi wa vitu OG kama anavyovaa davido, burna boy na swizzbeats siyo vile feki vya msanii wetu[emoji16]
kumbe Mondi Kwa Wiz ni pimbi tu daa Hilo jamaa nilikua nalichukulia easy kumbe pande la mtu dadeq!