Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

Aisee kuna video kaipost instastory yake yani yuko kwenye rooftop party na kina swizzbeats, akon, na busta ila yeye yuko busy kupiga mapicha na mpiga picha wake lukamba hadi kina busta wanacheka kuna sehemu swizz kama ana inama chini kwa aibu, yani mondi ni kama anarekodi utafukili mwisho wa dunia unakaribia.
Alafu dresscode sasa wenzio wako simple na ma tshirt ila yeye kavaa koti kama michael jackson alafu tumbo liko wazi na mabuti yake ya kupandia farasi ya Lil Nas X yule shoga. Yaani ukiangalia utaona aibu.
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Screenshot_2021-07-05-16-58-51-42.jpg
    28.2 KB · Views: 4
[emoji23][emoji23][emoji23]..Nchi ngumu sana hii..

So hapo ni kama maasai avamie sherehe sio?
 
Angevaa kibukta na tishet mngesema mondi amewaaibisha huko ulaya

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo umepitwa na wakati sasahiv wasanii duniani wanashindana kununua hayo macheni ya shingoni na mapete

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unasema uvaaji wa macheni umepitwa na wakati hao ni baadhi ya mastaa wanaovaa macheni je wamepitwa na wakati
DJ Khaled
Drake
Burnaboy
Wizkid
Davido
Migos View attachment 1842543View attachment 1842544View attachment 1842545View attachment 1842546View attachment 1842547

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Diamond ni yupi kati ya hao wawili. Na ni mwanamuziki wa wapi.
 
Saa[emoji355] Billion 5 Mweeeeh[emoji85]
5B na millioni 770 kaa hapohapo. Ya Floyd mayweather ni $18 million au Tshs Billioni 41 na millioni 742 au Shillingi 41,742,000,000.00 TZS
 
5 na millioni 770 kaa hapohapo. Ya Floyd mayweather ni $18 million au Tshs Billioni 41 na millioni 742 au Shillingi 41,742,000,000.00 TZS
Maisha hayana chembe ya stress kwa hawa watu[emoji29]
 
Maisha hayana chembe ya stress kwa hawa watu[emoji29]
Naona wewe ukiona huto tu millioni 42 twa mwisho hapo unawaza mjengo wa maana au ndinga kali sana ya kusumbua mjini ila jamaa kwao hizo ni chenji chenji za mwisho mwisho.
 
Fuatilia mambo hili usituletee ushamba wako wa Simiyu hapa...uvaaji wa cheni(ice and bling) ni utamaduni katika muziki hasa muziki wa Hip hop na haujapitwa na wakati kwa sasa ndio inashika trending zaid ya miaka iliyopita.wasanii wote wajanja wanavaa vyeni sisi wengine ni watu wazima kidogo tunafuatilia muziki toka miaka ya 90 lakini pamoja na utu uzima tupo updated tunaelewa fashion za kisasa zinaendaje







 
Ni wachache sana watakaokuelewa humu.
 
sim yenyewe una tumia tecno/infinix ambayo hata gharama yake haizidi 300k ila umeshupaza shingo kukomaa kua diamond ana vaa vitu feki reference yako n page ambayo hata haiko verified instagram n kama page za kina carrymastory ama jay

tuache huu ushamba wa kushadadia vitu
period!!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…