Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

ina maana hawa grammy hawajakielewa kabisa kizungu cha album yetu pendwa ya mmakonde?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]" I gonna die for you" , sasa hicho ni kizungu au kimakonde Cha chitohori[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupigia wasanii wanaoponda demokrasia nchini its a big no to me!!Kila mtu atakula alipopeleka mboga,and in fact mboga yao walipeleka CCM hvyo wakale hukohuko
yaani wewe ni MBUGIRA sana tena sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Solution ni kupigia kura wapinzani wao from Nigeria & other countries.
unaroho ya kwanini...!!!?? sasa wao watakusaidia Nini na ndo maana mpaka now hawajawa considered [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tunakata lufaa haiwedhekani alubamu yetu pendwa wakaithutha hivi hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi mwenyewe naona wamemuonea msanii wetu namba moja pamoja na album yake number moja Africa, in Burnaby voice [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…