Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Kavote wewe inatosha
 
thatha kaka tutafanyaje...? wakati yeye ndo mthanii peke ake anayejulikana kutoka Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au tuandamane wamemuonea mthanii wetu pendwa Tanzania [emoji24][emoji24][emoji24]
ladhima tuandamane, haiwedhekani gilammi washindwe kuichagua alubamu ilohudhuliwa na laisi musitafu alafu waichague EP ya maua yanayopendwa na nyuki, hapa ladhima dabiliusibi wametufanyia figithu kwa gilami
 
ladhima tuandamane, haiwedhekani gilammi washindwe kuichagua alubamu ilohudhuliwa na laisi musitafu alafu waichague EP ya maua yanayopendwa na nyuki, hapa ladhima dabiliusibi wametufanyia figithu kwa gilami
kweli dabiliusibi watakuwa wameoinga maana nasikia tuzo moja ni $3billion[emoji1787][emoji1787][emoji1787],tukaandamane BASATA.
 
wapigieni kura nyie ccm sinndio mnashinda nao kwenye majukwaa? niko tayari kumpigia kura msanii kutoka Nigeria ashinde kuliko hawa wasanii wapumbavu wa Tanzania
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe sio shabiki wake, kwahiyo kawapigie wasanii wako unaowajua.Kwenye digital platforms support kuwa kwa wasanii wetu kwa zaidi ya asilimia 80 hutoka nje.
 
Kupigia wasanii wanaoponda demokrasia nchini its a big no to me!!Kila mtu atakula alipopeleka mboga,and in fact mboga yao walipeleka CCM hvyo wakale hukohuko
Yeah tutawapa support,Wana CCM wenzetu.Kaa usubirie hiyo demokrasia unayotaka,Ila ukumbuke tu kuwa kila baada ya miaka mitano katika harakati zako za kusubiri democracy,umri unakutupa mkono.Utakuja kushtuka uzeeniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Pambana utoke kwenye JOBLESS status.
 
Kwani usipowapigia wewe ndio kutafanya wasipigiwe kura hao Wana fans wengi Sana wewe hata usipopiga huna impact yoyote wewe baki na siasa yako uone Kama itakufanya uwe na maisha Bora

Ni kama anavyowaambia na wao wabaki na siasa yao waone itawafanya wawe na maisha bora.. ukahesabu madhara ya kukosa kura za wasiofungamana na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…