Diamond Platnumz uwe na utu!

Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa

Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.

Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
Domo anakujua?

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Sasa mbona unaongea mambo ya 2007 afu unaita ya ajabu, ajabu kwa nani??
 
Dada ahsante
 

Mkuu naomba utufumbue macho zaidi Poise
 
Ndo shida ya kudate viben ten yaani utulivu zero kabsa..! Zari pambana na hali yako, Mond ndo kwanza hata 30 hajafikisha kazi unayo.
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaodiss waleta thread zinazozungumzia maisha binafsi ya celebs!,,,kwani ni nini maana ya jf-celeb forum??si kujua matukio,vimbwanga na mambo kadhalika ya celebrity??

Kujifanya mna shughuli kibao za kufanya!!hampumziki kwani?,,,Mara oooh nyie wafuatilia maisha binafsi,mara shilawadu!!!,,mie naona nyie mnaodiss hizo habari ni ulimbukeni tuu,,kujua maisha binafsi ya watu maarufu sio dhambi,sio umbea,,ni kawaida sana,,na ndio moja ya lengo la kuanzishwa kwa jukwaa hili
 
Kweli kabisa

Sent from my SM-A700YD using JamiiForums mobile app
 
Hamna kitu kama hicho mdogo angu..... Ukikua utajua kwa nn zari aliudhuria msiba wa ivan
Ila ujue haeajaoana Wale so hawatambuliki popote pale
pia alxhofanya mondi sio sawa yan mama watoto ako unamletea ukauzu? tehtehh
Ushambä ushamba tuu hata uwe nä magorofa ka manji
 
Maisha yake, mbona nyie bibi zenu hamuendi kuwaona huko vijijini
Wakiugua

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Mondi siku hizi cmuelewi kwa Zari

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
kifo cha ivan kitaondoka na wengi

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Acha kukariri nadhani wewe bado ni kijana mdogo. Huwezi jua haya masuala kabla ya kupambana nayo! Hakuna mwanaume ambaye angekubali hata kama ni marafiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…