issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
Mbona waziri mwakyembe humumwambia alivyomwacha mke wake???!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiachana na mtu humfuati matakoni. It was disgusting reallyToa shida apa, kwa iyo asingewasindikiza watoto wake.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Salama mkuu ndugusalama mkuu?[emoji23]
Domo anakujua?Mwenyewe ananikera sana siku hizi huyu mondi. Najaribu kuto mix maisha yake ya kazi na binafsi lakin nashindwa
Ndio maana zari anamuita mwanae Tiffah Hassan.
Sent from my MI NOTE LTE using JamiiForums mobile app
Sasa mbona unaongea mambo ya 2007 afu unaita ya ajabu, ajabu kwa nani??Huo ndiyo ukweli.
Kila mtu ana majanga yake inapokuja katika maisha binafsi.
Pia, hizi hela kuna watu wanazipata kwa masharti magumu kwa hiyo vigezo vya kupewa hizo hela ni lazima yazingatiwe regardless who is in trouble.
Kwa mfano, members wote wa FreeM , huwa hawatoi hela zao kwa ajili ya matibabu wala kuwa na huruma na mtu hata akipatwa na msiba.
Kwa hiyo, hili game tukae pembeni tukiwa na popcorns na soda baridi tuendelee kusoma game.
Ninayo , mengi ya ajabu ya kuandika, ila Kwa sababu naogopa ban na defamation naomba nishie hapa.
Nitarudi tena toleo lijalo.
Dada ahsanteMacho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU)
Chakushangaza wewe diamond unafanya home party kwa furaha ukishika misambwanda ya wadada mbalimbali ulio waalika madale kipindi ambacho mzazi mwenzio yupo kwenye matatizo, dogo haya maisha tu leo hii una party kesho kitandani hoi sisi ni binadamu tunapita kama shabiki umenikera sana mkeo kutwa ana omba tumuombee bibi tiffa wewe unakula happy na video una rekodi uo ni ushamba na kukosa utu, hivi ange umwa mama yako zari afanye party kwao aalike midume ungefurahi? Tabia mbaya baba tiffa.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji20]
![]()
![]()
![]()
Video inagoma kupandisha wataalamu ileteni
Huo ndiyo ukweli.
Kila mtu ana majanga yake inapokuja katika maisha binafsi.
Pia, hizi hela kuna watu wanazipata kwa masharti magumu kwa hiyo vigezo vya kupewa hizo hela ni lazima yazingatiwe regardless who is in trouble.
Kwa mfano, members wote wa FreeM , huwa hawatoi hela zao kwa ajili ya matibabu wala kuwa na huruma na mtu hata akipatwa na msiba.
Kwa hiyo, hili game tukae pembeni tukiwa na popcorns na soda baridi tuendelee kusoma game.
Ninayo , mengi ya ajabu ya kuandika, ila Kwa sababu naogopa ban na defamation naomba nishie hapa.
Nitarudi tena toleo lijalo.
Kweli kabisaHuwa nawashangaa sana watu wanaodiss waleta thread zinazozungumzia maisha binafsi ya celebs!,,,kwani ni nini maana ya jf-celeb forum??si kujua matukio,vimbwanga na mambo kadhalika ya celebrity??
Kujifanya mna shughuli kibao za kufanya!!hampumziki kwani?,,,Mara oooh nyie wafuatilia maisha binafsi,mara shilawadu!!!,,mie naona nyie mnaodiss hizo habari ni ulimbukeni tuu,,kujua maisha binafsi ya watu maarufu sio dhambi,sio umbea,,ni kawaida sana,,na ndio moja ya lengo la kuanzishwa kwa jukwaa hili
Hamna kitu kama hicho mdogo angu..... Ukikua utajua kwa nn zari aliudhuria msiba wa ivanHiyo ndiyo difference between males and females na pindi diamond angekuwa anamcontrol zari asingeenda katika maziko yale bila Diamond na wangesema mke wa Diamond ambaye ni mke wa ivan wa zamani. Ndo maana sasa uhusiano unayumba. Najua hutakubali ila wanaume si wavulana watanielewa
Acha kukariri nadhani wewe bado ni kijana mdogo. Huwezi jua haya masuala kabla ya kupambana nayo! Hakuna mwanaume ambaye angekubali hata kama ni marafiki tuHamna kitu kama hicho mdogo angu..... Ukikua utajua kwa nn zari aliudhuria msiba wa ivan
Ila ujue haeajaoana Wale so hawatambuliki popote pale
pia alxhofanya mondi sio sawa yan mama watoto ako unamletea ukauzu? tehtehh
Ushambä ushamba tuu hata uwe nä magorofa ka manji