McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
Koffi huwa anaimba kutokana na vile utakavyomshirikisha.....ukitaka wimbo wa kuruka ruka vurugu atakupa...ukitaka wimbo wa kimapenzi wa slow atakupa pia ..... sikiliza nyimbo kama "La femme de qualequn"-aliyoshirikishwa na SINGUILA....Kila mtu na masikio yake, kwangu ngoma mbovu.. Koffie hakuna alichokifanya mkongwe huyu, ni km ile collabo na cristian bella, sijui huwa wanamforce.
Wala hajihangaishi kuumiza kichwa.
Kwa shutuma za kupaste nyimbo za wengine bila ruhusa naona Harmonize anashutumiwa sana.Nachagua kuwa kinega, hamna kitu pale... Mopao kapaste verse yote na melody ya wimbo wake papaa ngwasuma!
Kwa shutuma za kupaste nyimbo za wengine bila ruhusa naona Harmonize anashutumiwa sana.
Sijajua kuhusu Domo, Vipi unaweza kuweka link au hiyo ngoma ya Papaa Ngwasuma sikio letu lipate kuanalyse..
Wimbo umekuwa ni kama remix ya papa mobimba..Koffi huwa anaimba kutokana na vile utakavyomshirikisha.....ukitaka wimbo wa kuruka ruka vurugu atakupa...ukitaka wimbo wa kimapenzi wa slow atakupa pia ..... sikiliza nyimbo kama "La femme de qualequn"-aliyoshirikishwa na SINGUILA....
kachanganya vionjo vya nyimbo mbili tofauti..1.Papa Mobimba na 2.Papa NgwasumaWimbo umekuwa ni kama remix ya papa mobimba..
Ndio pale pale.. Kwamba mkongwe hajaumiza kichwa, kafanya marudio tu, wimbo unakosa utamu..kachanganya vionjo vya nyimbo mbili tofauti..1.Papa Mobimba na 2.Papa Ngwasuma
inama mondi alicopy dance style toka kwa Fally Ipupa kwenye wimbo wa "ECOLE"Ndio pale pale.. Kwamba mkongwe hajaumiza kichwa, kafanya marudio tu, wimbo unakosa utamu..
Halafu hata diamond ni km hi ngoma alikurupuka, aliandika haraka haraka kwa kufosi kutokana na ratiba ya kofii labda.
Tizama ile ngoma ya inama ft fally ipupa kisha fananisha na hii.
Hapa tunazungumzia audio na si video ndugu yangu.inama mondi alicopy dance style toka kwa Fally Ipupa kwenye wimbo wa "ECOLE"
ukiuelewa uimbaji wa KOFFI hata usingewaza.... Katoa chuma kipya masaa 18 yaliyopita ameweka kionjo chake pendwa cha "BIYO..BIYO"....Hapa tunazungumzia audio na si video ndugu yangu.
Tunazungumza lugha 2 tofauti.ukiuelewa uimbaji wa KOFFI hata usingewaza.... Katoa chuma kipya masaa 18 yaliyopita ameweka kionjo chake pendwa cha "BIYO..BIYO"....
Sorry nimeteleza ni "francophone countries"Anglophone?
🚶🚶🚶🚶📝📝Diamondgm bana anawapeleka wgamgjmjgatu vile anatjmaka.. kudosjmgjmgjm mashabgmagama?