Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Kila mtu na masikio yake, kwangu ngoma mbovu.. Koffie hakuna alichokifanya mkongwe huyu, ni km ile collabo na cristian bella, sijui huwa wanamforce.

Wala hajihangaishi kuumiza kichwa.
Koffi huwa anaimba kutokana na vile utakavyomshirikisha.....ukitaka wimbo wa kuruka ruka vurugu atakupa...ukitaka wimbo wa kimapenzi wa slow atakupa pia ..... sikiliza nyimbo kama "La femme de qualequn"-aliyoshirikishwa na SINGUILA....
 
Nachagua kuwa kinega, hamna kitu pale... Mopao kapaste verse yote na melody ya wimbo wake papaa ngwasuma!
Kwa shutuma za kupaste nyimbo za wengine bila ruhusa naona Harmonize anashutumiwa sana.

Sijajua kuhusu Domo, Vipi unaweza kuweka link au hiyo ngoma ya Papaa Ngwasuma sikio letu lipate kuanalyse..
 
Kwa shutuma za kupaste nyimbo za wengine bila ruhusa naona Harmonize anashutumiwa sana.

Sijajua kuhusu Domo, Vipi unaweza kuweka link au hiyo ngoma ya Papaa Ngwasuma sikio letu lipate kuanalyse..

Tembelea YouTube andika papa mobimba.

NB: Ni Koffi ndo kapaste verse yake, hakujisumbua kuandika mpya sijui dharau au hajalipwa... sio Platinumz ambaye kataja majina tu full na kuwaambia wachuchumae wameingia cha kike!
 
Koffi huwa anaimba kutokana na vile utakavyomshirikisha.....ukitaka wimbo wa kuruka ruka vurugu atakupa...ukitaka wimbo wa kimapenzi wa slow atakupa pia ..... sikiliza nyimbo kama "La femme de qualequn"-aliyoshirikishwa na SINGUILA....
Wimbo umekuwa ni kama remix ya papa mobimba..
 
kachanganya vionjo vya nyimbo mbili tofauti..1.Papa Mobimba na 2.Papa Ngwasuma
Ndio pale pale.. Kwamba mkongwe hajaumiza kichwa, kafanya marudio tu, wimbo unakosa utamu..

Halafu hata diamond ni km hi ngoma alikurupuka, aliandika haraka haraka kwa kufosi kutokana na ratiba ya kofii labda.

Tizama ile ngoma ya inama ft fally ipupa kisha fananisha na hii.
 
inama mondi alicopy dance style toka kwa Fally Ipupa kwenye wimbo wa "ECOLE"
 
Diamondgm bana anawapeleka wgamgjmjgatu vile anatjmaka.. kudosjmgjmgjm mashabgmagama?
 
1. Olomide naona yeye haimbi anataja majina ya mapedeshee tuu.

2.Melody haina consistency kwani ni vipengelepengele vya nyimbo aliwahi kuimba na nyingine za kwenye siasa hasa inalobebajina la wimbo

3.Wamerekodia ndani sehemu moja kwa kutumia blue screen ama chroma key hivyo hakuna cha location

4.Kuna mafurushi meupe yanaonekana kwenye video sijui ni mizigo iliyobeba nguo za kubadilishia na mtu wa graphics akasahau kuyafuta au labba ndio staili wamekuja na madude ya kuboresha.

5.Audio ni bora maneno yanasikika vizuri ijapokuwa tafsiri ama theme ya wimbo siielewi

6.Picha ni bora na za kiwango cha juu hata ukizoom bado ubora haupotei
 
Simba wa Muziki barani Afrika diamondplatnumz amevunja rekodi ya Kufikisha YouTube Views million 1 ndani ya Muda mfupi zaidi iliyokua inashikiriwa na Mwanamuziki davido Kutoka nchini Nigeria, na Kuandika Rekodi yake mpya kupitia Video ya Hit song yake ya #Waah aliyomshirikisha @koffiolomide_officiel .

Diamond ameweka Rekodi hiyo mpya baada ya Kufikisha Views Milion 1 ndani ya Masaa 8 TU, rekodi ambayo awali ilikua inashikirikwa na davido ambae alifikisha Views Milion 1 ndani ya Masaa 9 kupitia Video yake ya #FEM .

Rekodi hii inaendelea kudhihirisha ubabe na nguvu kubwa aliyonayo diamondplatnumz katika Muziki, kwasababu si rahisi wala mzaha kufikia namba za kutisha namna hii !

Mpaka hivi sasa Video ya #Waah ina watazamaji zaidi ya Milioni 1 ikiwa ni Masaa 8 TU tangu iachiwe ..

Source# wasafi tv

Back
Top Bottom