McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
Koffi huwa anaimba kutokana na vile utakavyomshirikisha.....ukitaka wimbo wa kuruka ruka vurugu atakupa...ukitaka wimbo wa kimapenzi wa slow atakupa pia ..... sikiliza nyimbo kama "La femme de qualequn"-aliyoshirikishwa na SINGUILA....Kila mtu na masikio yake, kwangu ngoma mbovu.. Koffie hakuna alichokifanya mkongwe huyu, ni km ile collabo na cristian bella, sijui huwa wanamforce.
Wala hajihangaishi kuumiza kichwa.