Mdau jf
Senior Member
- Sep 10, 2020
- 182
- 313
nilitaka nimjibu kama wewe hivyo,Wewe ulitaka usikie kitu gani wakati ngoma Ni yakuchezeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitaka nimjibu kama wewe hivyo,Wewe ulitaka usikie kitu gani wakati ngoma Ni yakuchezeka
Nachagua kuwa kinega, hamna kitu pale... Mopao kapaste verse yote na melody ya wimbo wake papaa ngwasuma!
The diamond's sebene of all time.Hata hii ilipondwa pia...watu hawana jema
Kwa hiyo mzee Mopao kakalishwa na kijana wa Madale
[emoji38][emoji23]
huyu jamaa anamatatizo kwenye halmashauri ya kichwa chake. Hayuko sawa kabisa.Kashapanic huyu jamaa.View attachment 1635354
Hakuna kitu mpya hapo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Shikamoo kwa wimbo wakipumbavu hivi?kweli???punguza bangi
Wimbo mmbovuuuuuu nae koffie hakuna kitu amefanya labda kamletea bwana mdogo yale manguo yake
Maoni yako plz[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwakweli huo mziki haujanibamba.Maoni yako plz
Kama Mimi,tatizo wamekopi na kupast vitu vingi,mziki hauna radhaKwakweli huo mziki haujanibamba.
Hii ngoma kafanya bin laden mkuu?Bin laden[emoji119][emoji119][emoji119]
LaizerrHii ngoma kafanya bin laden mkuu?
Kashapanic huyu jamaa.View attachment 1635354
Lets give credit where credit due. Ku-paste verse yake ni shida pia?!! Angekuwa ame-copy kwa mtu ingekuwa shida zaidi.Nachagua kuwa kinega, hamna kitu pale... Mopao kapaste verse yote na melody ya wimbo wake papaa ngwasuma!
OLOMIDE kaimba au kataja majina au alilazimishwa?Habarini.
Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.
Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.
Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
Anataja tu jina za matejaHakuna kitu mwanzo mpaka mwisho nasikia WAAH WAAH WAAH.
Huyo Koffi Olomide alikuwa anauguruma tu humo.
Olomide kaimba kipande gani umo?Sema baadhi ya sehemu alivyoimba mondi wamemute vionjo vya muziki. Sehemu alizoimba olomide zina solo gitaa na flute baada ya solo kukata. Ila kwa mondi sanasana ni muted guitar na brass pekee.
Ila ngoma imebamba
Una masikio kama yanguTofauti na kutaja majina sijasikia kitu cha maana