Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Nachagua kuwa kinega, hamna kitu pale... Mopao kapaste verse yote na melody ya wimbo wake papaa ngwasuma!


Kaka labda hujasikiliza vizuri muziki wa Kongo, mara nyingi inatokea wanatambaa mulemule hata kwenye nyimbo zao wenyewe. Tangu enzi wanaimba Nzawisa, Kiwanzenza, Ndombolo ya solo na mtindo mingine. Tena sio mwanamuziki mmoja, wote wanaweza kutembea na style moja na haina kwere wala nini. Labda iwe Big issue kwavile kaimba na Diamond
 
Kwa hiyo mzee Mopao kakalishwa na kijana wa Madale

[emoji38][emoji23]

Hamna kitu, kutoka tandale nimesikia akitaja majina tu na kuwaambia wachuchumae wameingia cha kike.

Labda nitaisikiliza tena nikiwa Bar nimelewa!
 
Papa mobingaye papa mobingaye...........usiniguse usinitouch tusalimiane kwa miguu........Tena kwanza kaa mbali Corona corona corona............
 
Wakati napasha asubuhi RFA waliutumia kama wimbo wa kufanyia mazoezi ndio nikausikia kwa mara ya kwanza,si kujua kama ndio wenyewe

Haupo kwenye kiwango kizuri ila unafaa kufanyia mazoezi ,hasa ya kuruka kamba
 
Nachagua kuwa kinega, hamna kitu pale... Mopao kapaste verse yote na melody ya wimbo wake papaa ngwasuma!
Lets give credit where credit due. Ku-paste verse yake ni shida pia?!! Angekuwa ame-copy kwa mtu ingekuwa shida zaidi.
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri

OLOMIDE kaimba au kataja majina au alilazimishwa?
 
Sema baadhi ya sehemu alivyoimba mondi wamemute vionjo vya muziki. Sehemu alizoimba olomide zina solo gitaa na flute baada ya solo kukata. Ila kwa mondi sanasana ni muted guitar na brass pekee.

Ila ngoma imebamba
Olomide kaimba kipande gani umo?
 
Back
Top Bottom