Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Binadamu Hauna Cha kuipa Dunia na Dunia Haina haja nawewe. Utaondoka watakuja wakazi wengine na wao wataenda, Dunia itabaki
Sahihi ila Kuna magep Huwa ni ngumu kuya jaza ....
 
Binadamu Hauna Cha kuipa Dunia na Dunia Haina haja nawewe. Utaondoka watakuja wakazi wengine na wao wataenda, Dunia itabaki
Bora wewe umempa makavu sasa huyu shudu anaropoka mashudu tu kabla ya Diamond kulikua na Marijani Rajabu Jabari la Muziki vipi una cha kuongeza?
 
Media za Nigeria zinatumia nguvu nyingi kumzima mondi
Wala hazimuzimi kwani ukiondoa tz ni wapi pengine mond anaweza kufanya show akajaza nyomi?? Make wakienda kama marekani unakuta waliopo ni watz watupu,,,sasa kaangalie wasanii wa nigeria wakienda huko nje,,,,,,yaani unataka kusema wiz kid anazidiwa na mond???
 
Kumbe kuna fursa kwenye distribution industries

Ngoja nilifanyie study nione kama naweza kuwa dealer kwenye hiyo sekta

Hopefully tunaweza kupata vimia 2 mbili
 
Wako ligi moja
 
Erick Omond was Before Diamond Son..
Tangu akiwa Churchill He was the best
 
Sorry Una miaka Mingapi?
 
Jibu hoja
Hoja hiyo Inajibiwa kutokana na Umri wa Mtoa Mada miaka kadhaa Nyuma Juma nature alikuwa msanii Mkubwa sana Pamoja na Kina AY..
Walifanya show South afrika na nchi nyingi za Nje but unfortunately Hawako tena kwenye Ramani...

Kuna miaka Chidbenz alifanya Kollabu zaidi ya 30 na alikuwa na pesa Mbaya sana lakini kwa sasa ni mtu anayeomba..

Nimeuliza miaka ili nijue una experience gani kwenye Mziki Je Mziki umeanza kuujua Juzi miaka ya 2015s au kutoka miaka ya 90s Kipindi Bongofleva inaanza..
 
"We Zombi, Haujui"

Jamaa ana maana kubwa sana kuusema huo msemo Ila mazombi hamjawahi kumuelewa sio Zombi S2kiz anawazungumzia mazombi km nyinyi msiojua
Simba la masimba dangote [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…