Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Wewe bichwabox huna fact umeandika ushuzi tu humu unachafua hali ya hewa na kujaza server za JF Maxence Melo ona hii mtu hukuWatu kama nyie ni mzigo kwa taifa ....mna maliza oxygen ya tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bichwabox huna fact umeandika ushuzi tu humu unachafua hali ya hewa na kujaza server za JF Maxence Melo ona hii mtu hukuWatu kama nyie ni mzigo kwa taifa ....mna maliza oxygen ya tz
Bora wewe umempa makavu sasa huyu shudu anaropoka mashudu tu kabla ya Diamond kulikua na Marijani Rajabu Jabari la Muziki vipi una cha kuongeza?Binadamu Hauna Cha kuipa Dunia na Dunia Haina haja nawewe. Utaondoka watakuja wakazi wengine na wao wataenda, Dunia itabaki
Afu utakuta na ww unategemewa na family [emoji23][emoji23]Wewe bichwabox huna fact umeandika ushuzi tu humu unachafua hali ya hewa na kujaza server za JF Maxence Melo ona hii mtu huku
Huna point zaidi zaidi unapuyanga tu NDIO maana nikasema upo sahihi Ila uwasilishaji wako ni wa ovyoSahihi ila Kuna magep Huwa ni ngumu kuya jaza ....
Wewe unategemewa na nani Taifa?Afu utakuta na ww unategemewa na family [emoji23][emoji23]
Wala hazimuzimi kwani ukiondoa tz ni wapi pengine mond anaweza kufanya show akajaza nyomi?? Make wakienda kama marekani unakuta waliopo ni watz watupu,,,sasa kaangalie wasanii wa nigeria wakienda huko nje,,,,,,yaani unataka kusema wiz kid anazidiwa na mond???Media za Nigeria zinatumia nguvu nyingi kumzima mondi
Kumbe kuna fursa kwenye distribution industriesMuziki tayari wana online platforms na zinawalipa. Film ni hizo streaming service kama Netflix lakini huko ubora ujazingatiwa kwa hiyo kidogo inakuwa ngumu
Inavyoonekana investment inayohitajika kwenye distribution ni kubwa ndio maana movie kama Vuta nkuvute imeishia cinemas tu mkuu
Wako ligi mojaWala hazimuzimi kwani ukiondoa tz ni wapi pengine mond anaweza kufanya show akajaza nyomi?? Make wakienda kama marekani unakuta waliopo ni watz watupu,,,sasa kaangalie wasanii wa nigeria wakienda huko nje,,,,,,yaani unataka kusema wiz kid anazidiwa na mond???
Erick Omond was Before Diamond Son..Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Ligi moja IPI?Wako ligi moja
Sorry Una miaka Mingapi?Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Hapna sidhani Hata kidogo maybe Ungesema anakuwa Boosted na Siasa za nchini kwake na Mapinduzi mbalimbali anayoanzisha ambayo wanayaita yasiyo na kichwa..But now anakuwa boosted na la masimba
Hoja hiyo Inajibiwa kutokana na Umri wa Mtoa Mada miaka kadhaa Nyuma Juma nature alikuwa msanii Mkubwa sana Pamoja na Kina AY..Jibu hoja
"We Zombi, Haujui"Wako wapi