Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Sawa mkuu
 
Hajui huyo kwamba Chidbenz alikua barozi wa Airtel kipindi hicho Diamond hajawahi hata kuingia studio ya Bob Junior na Chid alikua yupo on Top by that time Ila sasa Nasikia Harufu
 
Hajui huyo kwamba Chidbenz alikua barozi wa Airtel kipindi hicho Diamond hajawahi hata kuingia studio ya Bob Junior na Chid alikua yupo on Top by that time Ila sasa Nasikia Harufu
Daaah ila chid ni almasi inayozidi kupotea ....
 
Humu tunatumia I'd fake Mzee ....hapa unaweza Kuta nabishana na ww .....kumbe Mimi baba yako
Una utoto mwingi sana alafu una mengi ya kujifunza kutoka kwa wakubwa wako uwe na adabu kiburi chako cha kujitia ujuaji mwingi kuna mengi hutojifunza, kuna kipindi MB Dogg ndio alikua talk of the town usisahau
 
Kuna msemo unasema "Usilete Ualimu/Ujuaji kwenye Sehemu ya Kujifunza" ..

Naona dogo Anajifanya Mjuaji Hajui kuna wakati Show bila Juma Nature ilikuwa Haifanyiki..
Juma nature hata akiwa Kwenye PA tu show inauza kinoma Miaka ya 2003 na 2004 hiyo ilikuwa Balaa sana..
Watu Nusura Tufukuzwe kazi Miaka Hiyo kwa Kushinda Club 😅😅
 
Una utoto mwingi sana alafu una mengi ya kujifunza kutoka kwa wakubwa wako uwe na adabu kiburi chako cha kujitia ujuaji mwingi kuna mengi hutojifunza, kuna kipindi MB Dogg ndio alikua talk of the town usisahau
Kuna mwamba ana itwa kiroboto ..najua humjui
 
Hv Diamond ana maajabu gan haswaa😅 ila kwel Kiba atakosa msanii wakushindana nae ,

NB : MOND HAJAWAHI KUUWAKILISHA MUZK WA BONGO KIMATAIFA
 
Ngoja aendelee kuchukua notice tu hakuna namna yupo darasani mda huu, anaendelea kujifunza kumbe nature aliendaga huko Kusini akajaza uwanja wa Lawi Nangwanda Sijaona alafu kuna sehemu alikua anapita kuna Mama akatoka nje kuja kumuona alipomuona akaropoka "Juma Nature ndio huyu mbayaaa" nature akamsikia akazama booth akatunga Ngoma inaitwa "Utajiju" na kipindi hicho kulikua na Trend ya huo msemo wa "utajiju"

Aishi dogo aendelee kula notice
 
Kuna mwamba ana itwa kiroboto ..najua humjui
Soma comments vizuri

Ngoma yake ya Mugambo ndio iliyompeleka SA kwenda kupiga show na alipofika kule kabla ya show alilewa kwa hio hakufanya show vizuri, ilikua gumzo mjini maneno yalikua mengi sana

Album pendwa ni UGALI na watu walikula Ugali wakati wa uzinduzi,
 
Hv Diamond ana maajabu gan haswaa[emoji28] ila kwel Kiba atakosa msanii wakushindana nae ,

NB : MOND HAJAWAHI KUUWAKILISHA MUZK WA BONGO KIMATAIFA
Vipi zile tuzo

Vip Yale ma international collaboration
Vp Yale ma international hit songs
 
Hiyo nyimbo hata uganda haikufika
 
Kumbe kuna fursa kwenye distribution industries

Ngoja nilifanyie study nione kama naweza kuwa dealer kwenye hiyo sekta

Hopefully tunaweza kupata vimia 2 mbili
All the best mkuu

Ukiwa serious kuna contact nayoweza kukupa ambayo ipo kwenye hiyo industry mkuu
 
Ndio maana nmesema huna akili mkuu[emoji23][emoji23]

Yaani quality ya movie za kanumba mwaka 2011..enzi hizo . una compare na saizi .... invention imekuwa kubwa kwenye vifaa .....

Yeah sina akili tena sana tu lakini vipi kuhusu wewe unaedhani movie za kanumba za mtoto mchawi zilihitaji kuwa na invention kubwa kama za marvel studios?..

Kwanza kilichobadilika sana ni camera quality tu. Tukiangalia movies storylines, camera angles, transitions , ubora wa waigizaji na script wala hautofautiani na ule wa wakati wa kanumba

Au unataka kusema kanumba hakuwa na teknolojia kubwa ya kutengeneza movie ambazo ni international success kama Neria, tsotsi au Nairobi half life ambazo zipo relevant hadi leo

Hata hivyo usijibishane na mtu ambaye hana akili, sawa genius 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…