Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #221
Sawa mkuuHoja hiyo Inajibiwa kutokana na Umri wa Mtoa Mada miaka kadhaa Nyuma Juma nature alikuwa msanii Mkubwa sana Pamoja na Kina AY..
Walifanya show South afrika na nchi nyingi za Nje but unfortunately Hawako tena kwenye Ramani...
Kuna miaka Chidbenz alifanya Kollabu zaidi ya 30 na alikuwa na pesa Mbaya sana lakini kwa sasa ni mtu anayeomba..
Nimeuliza miaka ili nijue una experience gani kwenye Mziki Je Mziki umeanza kuujua Juzi miaka ya 2015s au kutoka miaka ya 90s Kipindi Bongofleva inaanza..