Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

hana sound = Hana contribution kwenye Bongo flava as a genre = hana powerful artistry of music = commercial artist.

Hujabisha hili hivyo, hayo Mengine ni mayowe yako mkuu

Good day sir 🙏🏽
 
hana sound = Hana contribution kwenye Bongo flava as a genre = hana powerful artistry of music = commercial artist.

Hujabisha hili hivyo, hayo Mengine ni mayowe yako mkuu

Good day sir 🙏🏽
Na hivyo vigezo ulivyo viweka havitumiki kuthibitisha ubora wa msanii ni mtu mwenye akili finyu km yako ww ndio ata fanya hivyo.

Kupitia Diamond ameleta top artist in East Africa and Africa ambao wana nguvu kuliko ata kiba na the rest anatokea mtu kashiba mihogo anakwambia Diamond hana legacy kwenye bongo fleva kwa vile hana sound 😂 😂 😂. Punguza chuki ndugu ubongo ufunguke acha kukaza nati

Tutajie wasanii wa 5 wa Tz active artist wenye sound na contribution kwenye bongo fleva.

Here to say, una uwezo mdogo sana wa kuchanganua.
 
The Undisputed, nimekupa na like 😁😁. Haya sasa tulia na uache kuhangaishana na sisi tulio na uwezo mdogo wa kufikiri na kuchanganua.
Sawa genius, uwe na siku njema mkuu😁🙏🏽
 
Mwambie Kuna muda . List ya wasanii waliofanikiwa ilikuwa hivi
Diamond
Harmonize
Zuchu
Rayvanny
Mboso
Marioo
Alikiba
Lava lava

So ukicheki hapo ... vichwa vingi vya mond ......Sasa mnataka mond atoe contribution gan hap tz[emoji23]
 
Ajulie wapi muziki, traceeastern, mtvbaseeast, soundcityeast baadhi tu ya hayo mbona hayakuja kipindi cha dully au mb dog, ata tokea mtu atakwambia haja contribute chochote kwenye bongo fleva yaani anachagua angle yake aeneze chuki utamsikia huyu sio mwanafunzi kinara kwa vile hajapiga kiwi viatu, nonsense
 
Kila chenye pumzi ipo siku pumzi itakata na dunia ipo na inaendelea wamekufa watu mashughuli akiwemo JK Nyerere kwani Tanzania imekufa?
 
Daimond ameikuta BONGO fLEVA inazungumziwa kwenye ramani ya DUNIA

Daimond afe au aweCHIZI wa kufungwa minyororo "BONGOfleva itaendelea kuishi__mwisho wa BONGOfleva ni KIAMA (mwisho wa DUNIA")
 
Daimond ameikuta BONGO fLEVA inazungumziwa kwenye ramani ya DUNIA

Daimond afe au aweCHIZI wa kufungwa minyororo "BONGOfleva itaendelea kuishi__mwisho wa BONGOfleva ni KIAMA (mwisho wa DUNIA")
Lkn nani ataipeleka kimataifa??
 
Daimond ameikuta BONGO fLEVA inazungumziwa kwenye ramani ya DUNIA

Daimond afe au aweCHIZI wa kufungwa minyororo "BONGOfleva itaendelea kuishi__mwisho wa BONGOfleva ni KIAMA (mwisho wa DUNIA")
Romania ya dunia????? Acha uwongo ndugu ingekuwa hivyo basi muziki wa Tz ungekuwa unawakilishwa na wasanii wengi kimataifa.... WCB ndio label au wasanii wa kwanza Tz ku dominate ktk tuzo kubwa za muziki duniani mfano BET, MTV EMA hadi kuwa considered for Grammy.........

WCB ndio label ya kwanza kutawala ktk matamasha makubwa ya muziki kwa bongo flava kuliko msanii yyte yule kutoka Tz mfano majukwaa km Afro nation, African music festivals, rayvanny ali perform jukwaa la MTV EMA, kufanya stadium shows katika nchi mbali mbali Africa mfano Guinea, Equatorial Guinea, Ivory Coast na hadi katika mataifa ya ulaya na marekani tena kwa kiwnago cha juu kuliko msanii yyte yule Tz.

Nature aliwahi kuwa nominated katika tuzo kubwa na baadhi kuchukua km Channel O na MTV EMA na kidogo Jay dee....... Em sasa tufafanulie kabla ya Diamond muziki wa bongo flava ulikuwa kwenye ramani ya dunia kvp???????
 
Hao unaowasema hawana uthubutu wa kupush mziki wetu kimataifa kama anavyofanya chibu,Yan uwepo wake ndio unawakumbusha au kuwaamsha
 
Hao unaowasema hawana uthubutu wa kupush mziki wetu kimataifa kama anavyofanya chibu,Yan uwepo wake ndio unawakumbusha au kuwaamsha
hawa sio akina chegge wala temba, wasanii wa sasa wote ni wabunifu na wanafanya mziki wao kama biashara!
 
hawa sio akina chegge wala temba, wasanii wa sasa wote ni wabunifu na wanafanya mziki wao kama biashara!
Ni kweli wanafanya kibiashara lakini bado Mond ndiye anaepush Zaid mziki wa Tz,Yan wakina Harmo,Alikiba etc hawana nguvu kama ya Mond nje ya Tz
 
Tunataka kuona watanzania wakishiriki grammie mzee

Hizo tuzo za mchangani tushazizoeaa

Ova
 
Kwani hao wasanii wenu sahv wanaimba bongofleva si wana copy miziki ya wanaija na amapiano wasouth
Nyie hamna mziki sahv zaidi wasanii wana copy

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…