Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #341
Kulikuwa na muziki... lakini ulikuwa at local levelNilitaka kumuuliza, Kabla Diamond hajazaliwa hakukuwa na Muziki?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa na muziki... lakini ulikuwa at local levelNilitaka kumuuliza, Kabla Diamond hajazaliwa hakukuwa na Muziki?
Unakosa burudanDuuu!!! Basi mm mshamba Sana sijawahi kusikiliza mwimbo wa diamond Kwa dakika 3
Ukiikataa hii mada utakuwa na point chache za kudefend......kuliko ukiikubaliKuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kuongea pumba, nasikitika umechagua mmojawapo
Sidhani, maana point ni moja tu ambayo imeondoa kabisa mantiki ya hii post nayo ni kuwa muziki utakufaUkiikataa hii mada utakuwa na point chache za kudefend......kuliko ukiikubali
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unahisi nan anaweza kutuwakilisha kimataifa...Sidhani, maana point ni moja tu ambayo imeondoa kabisa mantiki ya hii post nayo ni kuwa muziki utakufa
Unless ungeniambia utapata pigo au tasnia itatingishika ama ushindani au msisimko utapungua
Ukoloni mamboleo. Kwanini unapima movie kufanya vizuri kwa kigezo cha "tuzo za kimataifa" ?Yaaah ....tuzo Gani kimataifa imepata
Headies AwardsNi tuzo ipi mondi kachukua alikiba Hana 🤣😂😁
Kufa kwa bongo movies ni kutokana na kukosekana kwa msambazaji haswa baada ya steps kuyumba ila sio kwa sababu ya Steven kanumba
Na hata ukifuatilia, game first quality bado aliendelea kuuzaa na JB bado aliendelea kutoa movies zilizohit kama chausiku na kuna ile kigodoro ya zamaradi. So, soko halikufa ila msambazaji nae alianguka around the same time
By the way, kwa sasa kuna watu kama Napoleon na seko shamte ambao wanatengeneza movies za kwenda kwenye global audience na zinafanya vizuri. Issue ni msambazaji na bahati nzuri serikali yenu unaijua, ingekuwa nchi zingine, serikali ingeshaingia chap maana hapo ni ajira za watu zinazungumziwa
Muziki tayari wana online platforms na zinawalipa. Film ni hizo streaming service kama Netflix lakini huko ubora ujazingatiwa kwa hiyo kidogo inakuwa ngumu
Inavyoonekana investment inayohitajika kwenye distribution ni kubwa ndio maana movie kama Vuta nkuvute imeishia cinemas tu mkuu
Laiti ungejua how Grammy awards work ungefuta what you just wrote.Ni suala la muda .... unadhani ni nani ataleta Grammy zaidi ya la masimba dangote
Again, naunga mkono hojaUwe unasoma kuelewa sio kujibu..
Nimeshakuambia Diamond ni commercial artist na kauongezea muziki wa bongo thamani COMMERCIALLY na yote uliyotaja ni commercial side ya muziki
Ulichotakiwa kunijibu ni kidogo sana,
Nioneshe unique Diamond platnumz sound ni ipi
Dully sykes pure bongo flava ya mwanzo ilikuwa sound yake
Mb Dog ndiye aliyeanzisha hii new era ya muziki ya mahaba toka Tanga
Mr Nice alikuwa na TAKEU
kukurahisishua, ni sawa umuite Michael Jackson King of pop au Ashanti, RnB Princess
Diamond ana, identity gani KIMUZIKI
Ndugu muziki haujui ww na thibitisha tena kuwa unachekesha, " Burna yupo inspired na Fella" akifanya Diamond copy cat. Na ndio maana nakwambia uache ngenga burna ka copy kila msanii unayemjua ww za wasanii wakubwa mbali mbali US hadi Africa ila unaleta ngenga et yupo inspired. Album zake zote ana copy kutoka ngoma tofauti na uache kulainisha maneno et inspired.
Na aliyekwambia msanii hili aache legacy kwenye tasnia inabd awe na sound yake ni nani? Acha kuwa mvivu wa kufikiri, umesema Michael Jackson alikuwa King of pop na Ashanti Queen rnb, je swali kwako hao ndio walikuwa waasisi wa hizo genre?
Psquare wana legacy kubwa kwenye muziki wa Africa na duniani kwa hiyo afro beats na afro fusion ndio walikuwa waasisi?
Et Mb Dog alikuja na muziki wa mapnz ya Tanga 😂 😂 hiyo ni bongo fleva ambapo pia ni rnb. Jux zamani alikuwa akiimba rnb ila sasa a a switch anafanya hadi afro pop, amapiano.
Apart from Diamond tuambie ni msanii gani wa bongo fleva umemuona kwenye matamasha makubwa ya muziki Africa na duniani? Msanii gani wa bongo fleva anaweza kupiga stadiums shows in Africa husasan Western countries km yupo mtaje.
Before Diamond tuambie msanii gani wa bongo fleva ulimuona kwenye tuzo kubwa au wasanii wa bongo fleva walikuwa na hiyo consistence ya ku appear kwenye tuzo kubwa kila mara?
Msanii pekee wa bongo fleva ku appear kwenye tuzo kubwa za kimuziki ni Sir Nature alipata nomination ya MTV EMA baada ya hapo ilichukua miaka mingi hadi Diamond kuja ku appear tena na kuibeba.
Ulivyo mvivu kufikiri, et Diamond anaiga vionjo kutoka kwa walioendelea, je ni msanii yupi duniani haigi vionjo kwa kitu chenye soko? Km yupo mtaje Ali kiba tu baada ya kuona Despacito ni global hit na yy akaiga vionjo, huyo harmonize kila siku anaiga, Davido ka copy vionjo kutoka kwa Focalist, Chris brown kamlipa hadi dogo msauzi atumie vionjo vyake, burna ndio daily routine yake.
Ww ndio maana nakwambia punguza chuki, wakifanya wengine et wako inspired akifanya Diamond ka copy..... kuna msanii uliwahi kumsikia amefungulia Diamond mashtaka? Au na ww ndio unalipia buku buku za Mange..........
Jibu swali ni msanii yupi wa bongo fleva awe wa kiume au wa kike anayemfikia au kumkaribia Diamond kimataifa, km wapo wataje na uje na facts km hawapo basi bongo fleva itapotea ktk ramani ya kimataifa
Ajulie wapi muziki, traceeastern, mtvbaseeast, soundcityeast baadhi tu ya hayo mbona hayakuja kipindi cha dully au mb dog, ata tokea mtu atakwambia haja contribute chochote kwenye bongo fleva yaani anachagua angle yake aeneze chuki utamsikia huyu sio mwanafunzi kinara kwa vile hajapiga kiwi viatu, nonsense
Ww pia ni mwehu tena kubwa jinga, et Marioo kuimba amapiano ndio kaleta bongo piano 😂 😂 ww ni chizi kweli, amapiano ni universal sound ni aina ya muziki ambao umevuma duniani kote so marioo kuimba amapiano ni kuidandia tu universal sound.Huna akili. Unajaribu kueleweshwa unakuwa mkali.
Mwenzio anaelezea mambo ya artistry na sound legacy we unaongelea mambo ya kujaza stadiums 😅
Ukweli ni kwamba Diamond ana akili ya kibiashara na kipaji anacho but HANA IMPACT kwenye sound ya Bongo Flava and so is Ali Kiba, Harmonize, Nandy n.k
Mfano mzuri ni Marioo, ngoma zake kama Mama Amina na Bia Tamu zina impact in a sense kwamba zilisaidia kui-popularize a new sub genre ambayo ni Bongo Piano ambayo from there wasanii wengine km Harmonize, Ali Kiba, Jaivah, Zuchu na Chino wakaichukua.
Hata Rayvanny nae ana mchango kwenye sound ya Bongo Fleva. Ngoma zake kama My Number One na Teamo alichanganya Kizomba na Bongo Flava baadae wasanii kama Diamond na Marioo na wenyewe wakapita humo humo.
Diamond is a copycat. Ni kama Mark Zuckerberg tu. Ana akili ya kumonetize kitu na kukifanya kuwa kikubwa but kuinvent kitu hiyo creativity hana. That is not to say kwamba hana talent, talent anayo but uthubutu wa ku-expriment new sounds hana.
And ITS OKAY
Usichoelewa ni nini? Na nani alikuambia muziki ni tuzo na mambo ya kujaza international stadiums basi?
Ngwair, Country Wizzy na Darassa wamejaza international stadiums gani? Kwa hiyo na wenyewe hawana impact ?
Narudia tena huna akili.
Kwa hiyo Marioo, Rayvanny, Dulla na Sholo wao ndio wame invent hizo sound? 😂 😂 😂Mashabiki wa WCB bwana. Msanii wenu akiambiwa ukweli kidogo tu mnaanza kusema anachukiwa.
Commercially he is a genius but HANA impact yeyote kwenye sound ya Bongo Fleva.
Sound ya Bongo Fleva ameikuta na haja-edit chochote.
Kaanza kuchangamkia Swahili Amapiano baada ya Marioo kuhit na Mama Amina, alifanya Naanzaje baada ya Rayvanny kuhit na Teamo na hata Singeli ameifanya baada ya kina Dulla Makabila, Sholo Mwamba etc kwenda mainstream.
He's here for the money na anajua kuichukua kweli. But likija suala la experimentation so far ni Diamond ni zero.
Na usianze kuleta mambo ya kina Burna Boy hapa coz hata hao kina Burna Boy hawaja-invent chochote ni kama bwana Diamond tu.
Huo ndo ukweli.
Ww jamaa ni mwehu kweli kweli yaani Marioo ndio kaupa umaarufu muziki wa amapiano! Kisa alikuwa wa kwanza kuimba, yy ww kweli mburura. Yaani sasa inbd wasanii sound mpya ikivuma tu wa kwanza kuachia hiyo sound ndio ana impact kwenye bongo flava 😂 😂. Mkipewa vyeo venu vya wehu mnavikataaAgain, naunga mkono hoja
Tena tukiongelea KIMUZIKI, nadhani Marioo ana impact kubwa kuliko Mondi maana Marioo ndio msanii aliyeitangaza na kuifanya Bongo Piano au Swahili Amapiano kuwa maarufu zaidi.
Ww pia ni mwehu tena kubwa jinga, et Marioo kuimba amapiano ndio kaleta bongo piano 😂 😂 ww ni chizi kweli, amapiano ni universal sound ni aina ya muziki ambao umevuma duniani kote so marioo kuimba amapiano ni kuidandia tu universal sound.
Et Rayvanny ndio alianzisha kizomba, nasisitiza tena ww ni mwehu. Hizo sound zote watu wanazikuta na due to evolution producers ndio jukumu Lao kutengeneza sounds tofauti.
Na ukitaka kuamini ww ni mwehu, basata walimpatia Diamond tuzo ya heshima kutokana na mchango wake kwenye bongo fleva, aya ni lini Basata walitoa tuzo za heshima kwa Ray na Marioo kwa kuleta sound mpya kwenye bongo flava kwa mujibu wako? Naona ss umeanza kuamini ww ni mwehu,
Burna boy ndio the biggest Africa musician na worldwide na the heights and records he has achieved, hakuna mwanamuzk yyte kutoka Africa amewahi kufikia, swali kwako mwehu. Lini ulisikia Burna boy amesifiwa kwa kuleta new sound in Africa? Ukubwa wa burna boy ni kina nani umewasikia wakisema jamaa kaleta sound mpya as the factor of his success na mapinduzi kwenye muziki wa Africa?
Ukijibu kuwa kwenye mada yyte Burna amesifika kwa kuleta new sound basi ww utakuwa sio mwehu ila ukishindwa basi ww MWEHU.
Diamond alikuja na afropop aki mix kiswahili, kiingereza na Nigerian accent, hao kina ray, harmonize kila siku wanaiga hizo sound je muasisi alikuwa nani? Ni dully? Z anto? Ali kiba? Juma Nature?
Hoja yangu ni nini? Hakuna msanii duniani alikuwa recognised et kwa kuleta new sound, huu ni ujinga tu km ww unaweza sema. Michael Jackson King of pop je yy ndiye muasisi? Basi ingekuwa wasanii wanasifika kwa kuleta new sounds basi leo tungekuwa na musical sound zaidi ya billion maana wasanii wapo wengi sana duniani.
Kingine, sio jukumu la msanii kuketa sound ila jukumu la ma producer. Justin Bieber ni miongoni mwa wasanii bora wamewahi kutokea duniani. Ni jibu sasa, Justin Bieber alikuwa na impact kwenye muziki wa Marekani na duniani au hapana. Kama hapana kwann? Na km ni ndiyo je Justin Bieber alileta sound gani mpya pale Marekani 😂 😂 😂.
Haya kanusha km ww sio mwehu
Ww jamaa ni mwehu kweli kweli yaani Marioo ndio kaupa umaarufu muziki wa amapiano! Kisa alikuwa wa kwanza kuimba, yy ww kweli mburura. Yaani sasa inbd wasanii sound mpya ikivuma tu wa kwanza kuachia hiyo sound ndio ana impact kwenye bongo flava 😂 😂. Mkipewa vyeo venu vya wehu mnavikataa