The Undisputed
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 330
Ww jamaa ni mwehu nasisitiza, playlist zipo kwa kila nchi hadi Congo wana amapiano yao. Kwa playlist za piano bongo zimekuwa influenced na Marioo 😂 😂 😂. Ww ni mwehu.Shida yako ni moja tu. Husomi kuelewa unasoma vitu as if unaumwa tumbo la period.
Wapi nimesema Marioo ndio kaanzisha Amapiano?
I said Marioo ana mchango kwenye sound ya Bongo because yeye ndio msanii wa kwanza Bongo kuchanganya Amapiano na Bongo Flava kutuletea Bongo Piano, sub genre ambayo kwa sasa Spotify, Apple Music na Audiomack wanaitambua kwenye playlisting.
Same Kwa Rayvanny.
Yeye ndiye msanii wa kwanza kuileta Kizomba Bongo na baadae wasanii wengine kama Diamond, Marioo, Ben Pol etc wakapita mulemule.
Plus acha kutumia mifano ya nchi za nje kuhalalisha ujinga wako. Stick kwenye mada. Nobody said Diamond sio msanii mkubwa he is. Lakini hana uthubutu wa kujaribu vitu vipya.
Na kama unadhani Justin Bieber hana mchango wowote kwenye sound nenda kajielimishe about who is the first Canadian singer kuchanganya EDM na RnB. Nikuulize Sorry ya Justin Bieber ni aina gani ya muziki?
Kwani we una umri gani mkuu, mbona una akili za kitoto sana?