Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
hana sound = Hana contribution kwenye Bongo flava as a genre = hana powerful artistry of music = commercial artist.Ndugu muziki haujui ww na thibitisha tena kuwa unachekesha, " Burna yupo inspired na Fella" akifanya Diamond copy cat. Na ndio maana nakwambia uache ngenga burna ka copy kila msanii unayemjua ww za wasanii wakubwa mbali mbali US hadi Africa ila unaleta ngenga et yupo inspired. Album zake zote ana copy kutoka ngoma tofauti na uache kulainisha maneno et inspired.
Na aliyekwambia msanii hili aache legacy kwenye tasnia inabd awe na sound yake ni nani? Acha kuwa mvivu wa kufikiri, umesema Michael Jackson alikuwa King of pop na Ashanti Queen rnb, je swali kwako hao ndio walikuwa waasisi wa hizo genre?
Psquare wana legacy kubwa kwenye muziki wa Africa na duniani kwa hiyo afro beats na afro fusion ndio walikuwa waasisi?
Et Mb Dog alikuja na muziki wa mapnz ya Tanga 😂 😂 hiyo ni bongo fleva ambapo pia ni rnb. Jux zamani alikuwa akiimba rnb ila sasa a a switch anafanya hadi afro pop, amapiano.
Apart from Diamond tuambie ni msanii gani wa bongo fleva umemuona kwenye matamasha makubwa ya muziki Africa na duniani? Msanii gani wa bongo fleva anaweza kupiga stadiums shows in Africa husasan Western countries km yupo mtaje.
Before Diamond tuambie msanii gani wa bongo fleva ulimuona kwenye tuzo kubwa au wasanii wa bongo fleva walikuwa na hiyo consistence ya ku appear kwenye tuzo kubwa kila mara?
Msanii pekee wa bongo fleva ku appear kwenye tuzo kubwa za kimuziki ni Sir Nature alipata nomination ya MTV EMA baada ya hapo ilichukua miaka mingi hadi Diamond kuja ku appear tena na kuibeba.
Ulivyo mvivu kufikiri, et Diamond anaiga vionjo kutoka kwa walioendelea, je ni msanii yupi duniani haigi vionjo kwa kitu chenye soko? Km yupo mtaje Ali kiba tu baada ya kuona Despacito ni global hit na yy akaiga vionjo, huyo harmonize kila siku anaiga, Davido ka copy vionjo kutoka kwa Focalist, Chris brown kamlipa hadi dogo msauzi atumie vionjo vyake, burna ndio daily routine yake.
Ww ndio maana nakwambia punguza chuki, wakifanya wengine et wako inspired akifanya Diamond ka copy..... kuna msanii uliwahi kumsikia amefungulia Diamond mashtaka? Au na ww ndio unalipia buku buku za Mange..........
Jibu swali ni msanii yupi wa bongo fleva awe wa kiume au wa kike anayemfikia au kumkaribia Diamond kimataifa, km wapo wataje na uje na facts km hawapo basi bongo fleva itapotea ktk ramani ya kimataifa
Hujabisha hili hivyo, hayo Mengine ni mayowe yako mkuu
Good day sir 🙏🏽