Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa


Finally somebody said it. Umeiweka vizuri sana
 

Mkuu haudhani kwamba investment ipelekwe kwenye kutengenezwa kwa cinemas zaidi kuliko kwenye streaming ?

Nasema hivyo kwa sababu thats how Nigeria revived their film industry kwa kujenga cinemas nyingi around the country kupitia investments za kampuni ya Silverbird (Silverbird film project)

Plus naona kama streaming ROI ni ndogo sana compared to cinemas hasa ukizingatia kwamba kuna watu wengi hapa Bongo ku-access internet bado ni changamoto.

Au mawazo yako ni yapi mkuu kuhusu hili ?
 
Ni suala la muda .... unadhani ni nani ataleta Grammy zaidi ya la masimba dangote
Laiti ungejua how Grammy awards work ungefuta what you just wrote.

Diamond HAWEZI kushinda Grammy hata siku moja. Atashinda iwapo tu Grammy watabadilisha namna wanavyochagua washindi.

Otherwise futa hiyo ndoto kichwani kwako.
 
Again, naunga mkono hoja

Tena tukiongelea KIMUZIKI, nadhani Marioo ana impact kubwa kuliko Mondi maana Marioo ndio msanii aliyeitangaza na kuifanya Bongo Piano au Swahili Amapiano kuwa maarufu zaidi.
 

Huna akili. Unajaribu kueleweshwa unakuwa mkali.


Mwenzio anaelezea mambo ya artistry na sound legacy we unaongelea mambo ya kujaza stadiums πŸ˜…


Ukweli ni kwamba Diamond ana akili ya kibiashara na kipaji anacho but HANA IMPACT kwenye sound ya Bongo Flava and so is Ali Kiba, Harmonize, Nandy n.k


Mfano mzuri ni Marioo, ngoma zake kama Mama Amina na Bia Tamu zina impact in a sense kwamba zilisaidia kui-popularize a new sub genre ambayo ni Bongo Piano ambayo from there wasanii wengine km Harmonize, Ali Kiba, Jaivah, Zuchu na Chino wakaichukua.


Hata Rayvanny nae ana mchango kwenye sound ya Bongo Fleva. Ngoma zake kama My Number One na Teamo alichanganya Kizomba na Bongo Flava baadae wasanii kama Diamond na Marioo na wenyewe wakapita humo humo.

Diamond is a copycat. Ni kama Mark Zuckerberg tu. Ana akili ya kumonetize kitu na kukifanya kuwa kikubwa but kuinvent kitu hiyo creativity hana. That is not to say kwamba hana talent, talent anayo but uthubutu wa ku-expriment new sounds hana.

And ITS OKAY

Usichoelewa ni nini? Na nani alikuambia muziki ni tuzo na mambo ya kujaza international stadiums basi?

Ngwair, Country Wizzy na Darassa wamejaza international stadiums gani? Kwa hiyo na wenyewe hawana impact ?

Narudia tena huna akili.
 

Mashabiki wa WCB bwana. Msanii wenu akiambiwa ukweli kidogo tu mnaanza kusema anachukiwa.

Commercially he is a genius but HANA impact yeyote kwenye sound ya Bongo Fleva.

Sound ya Bongo Fleva ameikuta na haja-edit chochote.

Kaanza kuchangamkia Swahili Amapiano baada ya Marioo kuhit na Mama Amina, alifanya Naanzaje baada ya Rayvanny kuhit na Teamo na hata Singeli ameifanya baada ya kina Dulla Makabila, Sholo Mwamba etc kwenda mainstream.

He's here for the money na anajua kuichukua kweli. But likija suala la experimentation so far ni Diamond ni zero.

Na usianze kuleta mambo ya kina Burna Boy hapa coz hata hao kina Burna Boy hawaja-invent chochote ni kama bwana Diamond tu.

Huo ndo ukweli.
 
Ww pia ni mwehu tena kubwa jinga, et Marioo kuimba amapiano ndio kaleta bongo piano πŸ˜‚ πŸ˜‚ ww ni chizi kweli, amapiano ni universal sound ni aina ya muziki ambao umevuma duniani kote so marioo kuimba amapiano ni kuidandia tu universal sound.

Et Rayvanny ndio alianzisha kizomba, nasisitiza tena ww ni mwehu. Hizo sound zote watu wanazikuta na due to evolution producers ndio jukumu Lao kutengeneza sounds tofauti.

Na ukitaka kuamini ww ni mwehu, basata walimpatia Diamond tuzo ya heshima kutokana na mchango wake kwenye bongo fleva, aya ni lini Basata walitoa tuzo za heshima kwa Ray na Marioo kwa kuleta sound mpya kwenye bongo flava kwa mujibu wako? Naona ss umeanza kuamini ww ni mwehu,

Burna boy ndio the biggest Africa musician na worldwide na the heights and records he has achieved, hakuna mwanamuzk yyte kutoka Africa amewahi kufikia, swali kwako mwehu. Lini ulisikia Burna boy amesifiwa kwa kuleta new sound in Africa? Ukubwa wa burna boy ni kina nani umewasikia wakisema jamaa kaleta sound mpya as the factor of his success na mapinduzi kwenye muziki wa Africa?

Ukijibu kuwa kwenye mada yyte Burna amesifika kwa kuleta new sound basi ww utakuwa sio mwehu ila ukishindwa basi ww MWEHU.

Diamond alikuja na afropop aki mix kiswahili, kiingereza na Nigerian accent, hao kina ray, harmonize kila siku wanaiga hizo sound je muasisi alikuwa nani? Ni dully? Z anto? Ali kiba? Juma Nature?

Hoja yangu ni nini? Hakuna msanii duniani alikuwa recognised et kwa kuleta new sound, huu ni ujinga tu km ww unaweza sema. Michael Jackson King of pop je yy ndiye muasisi? Basi ingekuwa wasanii wanasifika kwa kuleta new sounds basi leo tungekuwa na musical sound zaidi ya billion maana wasanii wapo wengi sana duniani.

Kingine, sio jukumu la msanii kuketa sound ila jukumu la ma producer. Justin Bieber ni miongoni mwa wasanii bora wamewahi kutokea duniani. Ni jibu sasa, Justin Bieber alikuwa na impact kwenye muziki wa Marekani na duniani au hapana. Kama hapana kwann? Na km ni ndiyo je Justin Bieber alileta sound gani mpya pale Marekani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚.

Haya kanusha km ww sio mwehu
 
Kwa hiyo Marioo, Rayvanny, Dulla na Sholo wao ndio wame invent hizo sound? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nasisitiza " WW NI MWEHU".
 
Again, naunga mkono hoja

Tena tukiongelea KIMUZIKI, nadhani Marioo ana impact kubwa kuliko Mondi maana Marioo ndio msanii aliyeitangaza na kuifanya Bongo Piano au Swahili Amapiano kuwa maarufu zaidi.
Ww jamaa ni mwehu kweli kweli yaani Marioo ndio kaupa umaarufu muziki wa amapiano! Kisa alikuwa wa kwanza kuimba, yy ww kweli mburura. Yaani sasa inbd wasanii sound mpya ikivuma tu wa kwanza kuachia hiyo sound ndio ana impact kwenye bongo flava πŸ˜‚ πŸ˜‚. Mkipewa vyeo venu vya wehu mnavikataa
 

Shida yako ni moja tu. Husomi kuelewa unasoma vitu as if unaumwa tumbo la period.

Wapi nimesema Marioo ndio kaanzisha Amapiano?

I said Marioo ana mchango kwenye sound ya Bongo because yeye ndio msanii wa kwanza Bongo kuchanganya Amapiano na Bongo Flava kutuletea Bongo Piano, sub genre ambayo kwa sasa Spotify, Apple Music na Audiomack wanaitambua kwenye playlisting.

Same Kwa Rayvanny.
Yeye ndiye msanii wa kwanza kuileta Kizomba Bongo na baadae wasanii wengine kama Diamond, Marioo, Ben Pol etc wakapita mulemule.

Plus acha kutumia mifano ya nchi za nje kuhalalisha ujinga wako. Stick kwenye mada. Nobody said Diamond sio msanii mkubwa he is. Lakini hana uthubutu wa kujaribu vitu vipya.

Na kama unadhani Justin Bieber hana mchango wowote kwenye sound nenda kajielimishe about who is the first Canadian singer kuchanganya EDM na RnB. Nikuulize Sorry ya Justin Bieber ni aina gani ya muziki?

Kwani we una umri gani mkuu, mbona una akili za kitoto sana?
 

Krikichino ww mwehu. Hili ndio tamasha kubwa namba 1 Africa la muziki. Em nitafutie wasanii wako walioipa bongo flava impact na waasisi wa " bongo piano" na "kizomba".
 

Msanii wa kwanza Tanzania kutoa ngoma za Swahili Amapiano na zikahit ni nani ?

Ni bwana Ako Diamond au ni Toto bad Marioo?

Em nijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…