Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

But kimataifa itakuwa hatutakua na ushindani

Haya mashairi ya "" I go die fo u hayawezi kushindana na kina davido[emoji23]
Weweeee achana kabisa na Mmakonde moto wake sio poa....
 
Wewe utakuwa una miaka 18 sasa!
Diamond aliukuta mziki wala hakuanzisha! Diamond alishikwa mkono na watu kwenye huu muziki na amefika hapo kwakuwa kuna watu walikuwa wanajua zaidi yake!
Hata akifa leo kila kitu kitaendelea! Alikuwepo Kanumba mkali wa Movie na sasa kuna wwngine wakali wa series!
 
Unaonekana kichwani ni zero kabisa .......Je mzazi wako alivyokusomesha .....Ina maana huwezi kumzidi Mali [emoji23][emoji23]

Hao watu ni kweli walimshika mkono ...but jamaa kapaa zaidi

Ni sawa na Albert Einstein alifundishwa darasani na mwalimu.....but hio haikumzuia Einstein kuwa kipanga zaidi ya huyo mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…