Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Diamond ni Ruge ajaye, tulieni mtanambia.
Kuweka jina la Diamond na Ruge mutahaba kwenye sentence moja ni kumshushia hadhi Ruge..

Diamond hana akili, elimu, exposure, influence wala connection alizokuwa nazo Ruge

Ruge alikuwa karibu kwenye kila kitu unachokijua wewe mjini, kwenye movies, media, modelling, mashindano ya urembo, kampeni za siasa etc

Diamond ni kipaji, Ruge ni mpika vipaji ndio maana hata Nyuma ya Diamond kulikuwa na jina lake. Muacheni jamaa apumzike kwa amani tu
 
Kufa kwa bongo movies ni kutokana na kukosekana kwa msambazaji haswa baada ya steps kuyumba ila sio kwa sababu ya Steven kanumba

Na hata ukifuatilia, game first quality bado aliendelea kuuzaa na JB bado aliendelea kutoa movies zilizohit kama chausiku na kuna ile kigodoro ya zamaradi. So, soko halikufa ila msambazaji nae alianguka around the same time

By the way, kwa sasa kuna watu kama Napoleon na seko shamte ambao wanatengeneza movies za kwenda kwenye global audience na zinafanya vizuri. Issue ni msambazaji na bahati nzuri serikali yenu unaijua, ingekuwa nchi zingine, serikali ingeshaingia chap maana hapo ni ajira za watu zinazungumziwa
 
Bado haijavunjs rekodi ya steven
Steven alikuwa na rekodi gani ukitoa influence na umaarufu

Alikuwa aggressive na passionate kuliko wengi kiasi cha kuongeza ushindani. Lakini ukitoa movies alizotoa na Game first quality ambaye hadi leo yupo hai,

Kuna movies gani alifanya ambazo unaweza kuzishindanisha na za napoleon au seko kwa kufanya vizuri kwenye cinemas ulimwenguni??....
 
Mambo ya fesibuku unayaleta huku kweli
 
Basi inabidi alindwe na kutunzwa asife maisha yake yote😄
 
Nashangaa sana mtu akisema mziki utakufa ukijua mziki ni jambo la hisia kamwe huwezi sema kitu kama hii sio lazima kiki ili mziki ukonge nyoyo za mashabiki
 

Wewe inaonekana ni kizazi cha 2000-2005 na kama ni chini ya hapo bhasi hata muziki huujui

Hujaona kipindi TID, Mr. Nice, MB Dog, Marlaw, CP, AY, Lady Jay Dee, Ray C, wakiwa kwenye peak

Muziki wa bongo umeanza kufanya Domination East Africa na Eastern Congo kitambo sana. I rest my case

Huna unalolijua kwenye mziki zaidi ya ushabiki wa WCB
 
Ruge alikuwa na fitna...( Roho ya kwanini).

Diamond ni mtu wa kubeba wasanii
 
Hauko serious mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…