mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kwa diamond ataimba na kutamba milele nayeEt juma nature na TID wapo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa diamond ataimba na kutamba milele nayeEt juma nature na TID wapo
Watu wa fb wngs sana [emoji1]Duuuuh
Kwani wakina sugu,tid,na wengineo unafikiri hawaimba huko njeLkn nani ataipeleka kimataifa??
Mziki sahv hata hawaumizi vichwa kuandika,KOMANDO KOMANDOO KIPENSI KOMANDOO
TunTaka kuona wasanii tz wakiperform sehemu kama giants stadium au o2 arena mzeeNi suala la muda Mzee ..
Dunian akitamba maiko jako mzeePengo lake litachuku muda kulikaba....au haitawezekana kabisa
Muziki wenyewe trash.Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.
-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)
Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.
Ni watanzania wangapi wanashiriki hizo za mchangani? Hujui llte khsu muziki ww, et MTV EMA, BET ni tuzo za mchangani 😂 😂 na "grammie" ndio sio ya mchangani au unadhani Grammy ni km TMATunataka kuona watanzania wakishiriki grammie mzee
Hizo tuzo za mchangani tushazizoeaa
Ova
Wanaoupenda hawana akili.Lkn ndo unaopendwa mkuu
Nilitaka kumuuliza, Kabla Diamond hajazaliwa hakukuwa na Muziki?Mziki ufe? Unaujua muziki kweli? Kama sio utoto basi lazima utakuwa bonge la sakara!
Mada za kimbululaDiamond ndio kaubeba Mziki wa Bongo, akidondoka ni lazima Tasnia itikisike kidogo.
N.B SINA TIMU.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usikute hata mond humjui
Unaweza Kuta hata Mzee wako ni shabiki ndaki ndaki wa la masimba dangote [emoji23]Wanaoupenda hawana akili.