Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Pengo lake litachuku muda kulikaba....au haitawezekana kabisa
Dunian akitamba maiko jako mzee
Si hyo kavuta wako wengine
Sema kikubwa pesa aliyotengeneza
Aitunze azidi
Naa kwenye kutengeneza pesa na hapo namkubali

Ova
 
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa.

-Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake
-Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye
-Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye mziki
-Marioo atakosa mtu wa kujishindanisha kwake
-Tanzania itakosa mtu wa kuiwakilisha kimataifa na kushindana na wanaija
- Contents Creators wengi watakosa content ambazo hufanya kwa kumuiga Diamond (Eric Omondi na wengine)

Media zote zitakosa za online zitakosa Umbea wa kupost (Mange Tv,Sns,Rick media, Millard Ayo na kadhalika)
Kiufupi Nchi itakuwa imepoteza moja ya Kiungo Kikubwa kwenye maendeleo ya Nchi.

Muziki wenyewe trash.
 
Tunataka kuona watanzania wakishiriki grammie mzee

Hizo tuzo za mchangani tushazizoeaa

Ova
Ni watanzania wangapi wanashiriki hizo za mchangani? Hujui llte khsu muziki ww, et MTV EMA, BET ni tuzo za mchangani 😂 😂 na "grammie" ndio sio ya mchangani au unadhani Grammy ni km TMA
 
Back
Top Bottom