Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Yaan Zuchu kutoka kwa Mondi Mungu amsaidie,diamond ni manipulator na toxic,Zuchu kwa kazi anazofanya na umaarufu angekuwa na bwana anaemtaka akaenjoy maisha ,Mond kwa sasa ujana umekolea haswaa hawezi settle na demu mmoja ila uzuri malaya huwa wanapata watoto wa kike malipo hapa hapa
Wivuuuu
 
Sema wanawake sometimes ni wapumbavu sana. Ina maana Zuchu kabla hajamvulia nguo uyo muhuni wa tandare alikua hajui kwamba jamaa ni badboy.

Kizazi cha vijana wa sasa tuna tatizo kubwa sana kwenye kufanya vetting ya mtu wa kuwa na mahusiano nae. Tunapuuza red flags na past ya mtu tukifikiri atabadilika.
Mkubwa siku hizi sioni nondo zako
 
Kafanye research tena.

Clinton alikua rais wa kwanza kuwa impeached na kidogo imuondoe kwenye kiti cha urais ile scandal.

Kutembea na your subordinate is illegal sababu hakuna balance of power. Mfanyakazi wako hana uhuru wa kukukatalia sababu unaweza retaliate kupitia maslahi yake. Case in point, Zuchu anaweza sema hamtaki mondi ila mondi akaacha kumlipa mshahara wake itabidi zuchu ajirudishe kama umeme wa mgao.

Ime Udoka aliyekuwa kocha wa Boston celtics alitembea na mfanyakazi mwenzake akatimuliwa ukocha.

Kesi zipo nyingi sana. Hata kwenye makampuni ya kawaida ni kosa kutembea na mfanyakazi wako kwa asilimia kubwa. Ikigundulika ni either mtu afukuzwe au mmoja ahamishwe kitengo kama hakuna foul play.
Chai
 
Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,

Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,

Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.

Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,

Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)

#FreeZuchu
We Kama Nani bwana mdogo,ungeenda wasafi pale uwaambie
 
Unadhani kwanini hiyo habari ina inasisitiza had-sex-with-spacex-employee?

Musk hajaoa, Kama angetembea na mtu mwingine huko nje unadhani ingekua habari on front pages?

Nadhani tunajadili mambo mawili tofauti: wewe unaongelea usaliti kwa wanaume; mimi naongelea mahusiano ofisini with your subordinate.

Mondi anatembea na mfanyakazi wake zuchu. Clintoni alitembea na intern wake ofisini Monica. Udoka alitembea na mfanyakazi wake etc etc.

Mahusiano nje ya ofisi hayatuhusu. Kama hujaelewa I rest my case.
Kwahiyo mm nafanya makosa kumwagia tui la nazi shamila wangu maana wote tunafanya kwa muhindi🤔
 
Dayamondi angekua mbele angekua na kesi za unyanyasaji wa kingono kwa kutembea na mfanyakazi wake achilia mbali usaliti. Mondi angekua ana face charges kama Diddy hivi sasa. Na Mondi aendelee kuomba international media zisipick hizi story zake za kutembea na zuchu atakuwa blacklisted.

On the other end, Zuchu ni mtu mzima anamaamuzi yake kama kaamua kutumika acha atumike. Siku akishtuka ataondoka hajashikiwa bunduki. Kupanga ni kuchagua.
Uzuri wa bongo ukiwa na hela unaweza fanya chochote na ukadunda tu labda wakuloge 🤣🤣🤣🙄🙄
 
Kama mondi kapiga hiyo pisi asilaumiwe hata kidogo. Nchi impe tuzo ya heshima.
Hahaha kwa status ya mondi huyu ni very local mkuu mtaani kuna vyuma vyuma unakumbuka yule wa sinza uliyenipa jina la account yake ya ig!?? Kama yule sasa ndo fire shape namba 8 hii hapa
 
Ukisema watoto wa kike, waliopo kwenye mateso,Zuchu sio mmoja wao, huyu ana ukwasi mkubwa kuliko mbunge wa viti ma alum, kama ameshikwa, amejishikisha kwenye we kwa tamaa zake, wacha aliwe mpaka makalio,
Kwa Mimi kama mzazi, na baba wa binti kadhaa, inaleta ukakasi, ukiona mwanamwali wako, analiwa weeeee, na, jamaa, hazai,nae, mimba zinatolewa, anafsnywa kama sex machine tu, hapo zuchu, bikira iliishabanduliwa, na sikia Dangote, aliwahi, kumzamishia kwa mpalange, kidogo akaue katoto ka watu, kesi ilimalizwa kifamilia,
Duuh
 
Back
Top Bottom