Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Yaan Zuchu kutoka kwa Mondi Mungu amsaidie,diamond ni manipulator na toxic,Zuchu kwa kazi anazofanya na umaarufu angekuwa na bwana anaemtaka akaenjoy maisha ,Mond kwa sasa ujana umekolea haswaa hawezi settle na demu mmoja ila uzuri malaya huwa wanapata watoto wa kike malipo hapa hapa
 
Huyu nae? Kwa wanaume ni swala kamtamani nani na wapi, ila usaliti kwetu ni Pie.

Unadhani kwanini hiyo habari ina inasisitiza had-sex-with-spacex-employee?

Musk hajaoa, Kama angetembea na mtu mwingine huko nje unadhani ingekua habari on front pages?

Nadhani tunajadili mambo mawili tofauti: wewe unaongelea usaliti kwa wanaume; mimi naongelea mahusiano ofisini with your subordinate.

Mondi anatembea na mfanyakazi wake zuchu. Clintoni alitembea na intern wake ofisini Monica. Udoka alitembea na mfanyakazi wake etc etc.

Mahusiano nje ya ofisi hayatuhusu. Kama hujaelewa I rest my case.
 
Nasikia Mond ana kaubahili fulani, anaweza kumpangia mtu, akatoa kodi mara moja kishakukinai halipi tena 😅😅😅😅😅 kweli watoto wanataka status kuwa kaliwa na Mond!!!
Kuna habari niliisikiaga, siwezi iweka hapa. Ni huzuni na inatisha sana kama kweli hufanya hivyo.
Ni kweli anafanya na anawaf…. Haswa hata huyo Zu na nasikia na lokole pia 😂😂😂
 
Unadhani kwanini hiyo ni habari ina inasisitiza had-sex-with-spacex-employee?

Musk hajaoa, Kama angetembea na mtu mwingine huko nje unadhani ingekua habari on front pages?

Nadhani tunajadili mambo mawili tofauti: wewe unaongelea usaliti kwa wanaume; mimi naongelea mahusiano ofisini with your subordinate.

Mondi anatembea na mfanyakazi wake zuchu. Clintoni alitembea na intern wake ofisini Monica. Udoka alitembea na mfanyakazi wake etc etc.

Mahusiano nje ya ofisi hayatuhusu. Kama hujaelewa I rest my case.
Kwa hiyo ulaya ukioa hiruhusiwi kusaliti.?Ukisaliti unashtakiwa.........

Halafu ww umemtolea mfano Didy okay Didy nae alioa? Unajicontradict mwenyewe. Ila ulicho kiongea hapo chini, hakipo kama unavyo sema,maana kama ndio hivyo wangekuwa busy sana mahakamani, kwani 90 ya wana chovya nje. Diddy hakushtakiwa kutoka na mfanya kazi wake ambaye alikuwa chini ya label yake,Diddy alishtakiwa kwa kuwa muabuse Girlfriend wakena clip zake zilivuja akimpiga Girlfriend wake kwenye korido ya hotel. Ila mahusiano yao yalikuwa public.

Basi sawa acha na mie ni kuache.
Dayamondi angekua mbele angekua na kesi za unyanyasaji wa kingono kwa kutembea na mfanyakazi wake achilia mbali usaliti. Mondi angekua ana face charges kama Diddy hivi sasa. Na Mondi aendelee kuomba international media zisipick hizi story zake za kutembea na zuchu atakuwa blacklisted.

On the other end, Zuchu ni mtu mzima anamaamuzi yake kama kaamua kutumika acha atumike. Siku akishtuka ataondoka hajashikiwa bunduki. Kupanga ni kuchagua.
 
Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,

Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,

Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.

Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,

Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)

#FreeZuchu
Pilipili usiyo ila inakuwashia nini? Acha kuingilia mahusiano ya watu.
 
Kwa hiyo ulaya ukioa hiruhusiwi kusaliti.?Ukisaliti unashtakiwa.........

Nini maana ya ndoa kama usaliti unaruhusiwa? Nchi gani inaruhusu wanandoa usaliti? You're spitting nonsense.

FYI, marital infidelity (usaliti) ndo cause namba moja ya divorce. Divorce rate is well over 60% USA.

Mahakama tayari zipo busy kusuluhisha case za ndoa kila siku kama hujui.

Diddy ana lawsuits zaid ya 30 hadi sasa including kutembea na wafanyakazi wake, minors, trafficking nk. Again, google is free.

Either umeoa au hujaoa kutembea na mfanyakazi wako ni kosa kwa policy ya makampuni mengi sijui nini kigumu kuelewa hapo.
 
Na mimi ndio ninachosema Zuu anaishi kwa ajili ya kushindana na watesi wake wakati muda wake unazidi kusonga mbele, Mondi hata akiwa ana miaka 60 bado ataitwa babe na vitoto vidogo vipi kuhusu yeye?
Anapaswa ajitafakari afanye maamuzi magumu na hata Mondi kama anachembe ya huruma kwa yule binti basi amuache huru wabaki kwenye kazi tu
Mm nitampokea zuchu akiwa mshangazi
Macho yake matam ningeweza ningeyahamishia kwa shamila wangu🤔
 
Back
Top Bottom