Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
- Thread starter
- #121
Kabisa dear,Kitendo Cha kutangaza kumwacha mond Mara mbili zote ni ishara tosha kuwa ni mahusiano hafifu na yanaforciwa tu
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa dear,Kitendo Cha kutangaza kumwacha mond Mara mbili zote ni ishara tosha kuwa ni mahusiano hafifu na yanaforciwa tu
Wamesema shughuli yao wanachinja ngamia 21🥴Kipenzi unajua Diamond alishasema, akiwa hamtaki mwanamke anamfanyia matukio, anaondoka mwenyewe. Sasa kishamaliza matukio yote bidada yupo, yaani Mond safari hii kakamatika.
Zuchu kishasema juzi haendi kokote, kujibu ujumbe wa Valentine's day. Hakujua Mond yale maneno ni kumchoma Misa, kuwa tangu kaanza kupenda, hajawahi penda kama anavyompenda Zuchu.
Nakuhakikishia katumwa. Huwa anatumia mwanamke mwingine kumtoa aliyekuwepo. Alimtumia Penny na Jokate kumtoa Wema. Akaja kumtumia Hamisa kumtoa Zari. Akamtumia Luludiva kumtoa Tanasha.Huyu aidha kafanya kwa wivu baada ya Mondi kutaka kumuoa Zuuh au katumwa na huyo huyo Mondi ili kuipeperusha ndoa
Hamna kitu hapoDuh! Kumbe umenipandisha cheo nimekua baby wako😉
Aya bibie huyu hapa! Binti ni kisu hatari, umeona utege wa mahaba huo🙌View attachment 3241823
Na wewe vipi ya kwako?Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,
Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,
Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.
Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,
Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)
#FreeZuchu
Mpuuzi kweli wewe, halafu uwekezaji wake alioufanya hela utairudisha wewe? Sema tu waachane kimapenzi tu uko kwenye biashara kuna miongozo ya kuvunja mkatabaNilisema ili mda sana anacho mfanyia ni unyanyasaji wa kingono, kama anampenda amtoe kwenye mikataba ile ya 60 to 40 percent. Na amsaport kama solo artist
Bi Khadija anaonesha kabisa kishachoka, ameshaongea hadi kaamua kumuachia Mungu, Zuchu anaona kama akiachia ngazi atachekwa zaidi kumbe hajui watu husahau na yeye atakua kaiponya afya yake ya akili, Mondi pia hataki amuache aende moja kwa moja sababu anamtumia kumuingizia pesa, kiufupi Zuu amekua mateka kwenye nchi yake mwenyewe🙁Najiuliza Khadija Kopa, nguvu yake ile ya kuacha wanaume ameshindwa kweli kumnasua mtoto kwenye hii trauma?
Sijui Zuchu anawaza akiolewa nini kitabadilika!
Hatapata heshima anayodhani ataipata, cause watu wameshajua ni desperado
Hataogopewa na ndugu wa hiyo familia , as wooooooote wanamnanga wao wafanyakazi wao na kila mtu.
Mpaka siku akihojiwa Taraj na amjadili kwanini haolewi ndo labda ataelewa!
Kutembea na mfanyakazi wake? How kosa lipo wapi.......... sijawahi kusikia mbele kuna mtu alistakiwa sababu ya Usaliti?Rais wa US Bill Cinton kamkamua Sekretari wake white house, ila hakufanywa chochote na mkewe.
Sema Zuchu kaingia kwa muhuni so yanayo mkuta ayavumilie kama hataki amshe.
Kwanini wanakubali kufumuliwa marinda, watu hawataki kwenda mbinguni🤔
Pyeeeeeee!!!! Umempigia salute kimoyomoyoHamna kitu hapo
Hii ni kama mimi nilivyokuwa kwa mtu Fulani humu🙌Nakuhakikishia katumwa. Huwa anatumia mwanamke mwingine kumtoa aliyekuwepo. Alimtumia Penny na Jokate kumtoa Wema. Akaja kumtumia Hamisa kumtoa Zari. Akamtumia Luludiva kumtoa Tanasha.
Zuchu kishatumiwa Zari, n.k hajatoka, tuone huyu mrembo kama atatoka. Ila Zuchu hatoki, anataka kuolewa, ili wamuone shujaa kawashinda wanawake wote wa Mond.
Na hapo jina la King'ang'a linapokua mwishoe litakua lake kweli🤣🤣Nakuhakikishia katumwa. Huwa anatumia mwanamke mwingine kumtoa aliyekuwepo. Alimtumia Penny na Jokate kumtoa Wema. Akaja kumtumia Hamisa kumtoa Zari. Akamtumia Luludiva kumtoa Tanasha.
Zuchu kishatumiwa Zari, n.k hajatoka, tuone huyu mrembo kama atatoka. Ila Zuchu hatoki, anataka kuolewa, ili wamuone shujaa kawashinda wanawake wote wa Mond.
Shida ndipo inaanzia hapo bas amuozeshe mtoto wa kaka yake binamu sio halamuhawezi kuruhusu utulivu wa maisha ya mwanae kimahusiano anajua akipendwa huyo mwanamke utajiri utahama.
Hakuna mwanamke anaye faa kwa yule mama!
Watu wanaliwa liwa ovyo ata kwenye store mtu anavua chupi shame on themSio wasanii tu ni watu wote. Huko maofisini ndo usiseme. Africa bado sana when it comes to human rights and rule of law.
Sawa kwahy mwanae ataendelea kuishi vile?Hapana siamini kwenye hilo ila najua mama anajaribu kulinda mali za mwanae ukiangalia jinsi walivyo hustle
Nakuhakikishia katumwa. Huwa anatumia mwanamke mwingine kumtoa aliyekuwepo. Alimtumia Penny na Jokate kumtoa Wema. Akaja kumtumia Hamisa kumtoa Zari. Akamtumia Luludiva kumtoa Tanasha.
Zuchu kishatumiwa Zari, n.k hajatoka, tuone huyu mrembo kama atatoka. Ila Zuchu hatoki, anataka kuolewa, ili wamuone shujaa kawashinda wanawake wote wa Mond.
Clinton alishtakiwa wapi Kwa usaliti? ungeniambia Abuse,Diddy alimfanyia abuse girlfriend wake na si usaliti. Wanaume karibia asilimia 90 wengi tuna chovya nje,maana kama ingekuwa hivyo sijui huko mahakamani wangedeal na kesi ngapi.Kafanye research tena.
Clinton alikua rais wa kwanza kuwa impeached na kidogo imuondoe kwenye kiti cha urais ile scandal.
Kutembea na your subordinate is illegal sababu hakuna balance of power. Mfanyakazi wako hana uhuru wa kukukatalia sababu unaweza retaliate kupitia maslahi yake. Case in point, Zuchu anaweza sema hamtaki mondi ila mondi akaacha kumlipa mshahara wake itabidi zuchu ajirudishe kama umeme wa mgao.
Ime Udoka aliyekuwa kocha wa Boston celtics alitembea na mfanyakazi mwenzake akatimuliwa ukocha.
Kesi zipo nyingi sana. Hata kwenye makampuni ya kawaida ni kosa kutembea na mfanyakazi wako kwa asilimia kubwa. Ikigundulika ni either mtu afukuzwe au mmoja ahamishwe kitengo kama hakuna foul play.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 toyeye hunaga siriHii ni kama mimi nilivyokuwa kwa mtu Fulani humu🙌
Lakini akikinai labda ataacha mwenyewe...Kuna muda unachoka na matukio una surrender 🤣🤣🤣🤣