Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Yaani wewe ni slow leaner balaa na mjuaji balaa
 
Pole sana Zuchu...

Binafsi naomba uachane na Daimond kimya kimya, ongea na Diamond uendelee kufanya kazi wasafi ila mahusiano yasitishe kimya kimya......i nadhani una dilemma sababu Public is involved. Kuna expectations nadhani unadhani unatakiwa uzimeet kwa Public. Hii inakunyima uhuru wa ku move on. Easy way out ni kufanya maamuzi magumu kimya kimya. Ukifanya hivi kutakuwa na less speculations kutoka kwa Public na hivyo kufanya kitendo cha ku move on easy. Pia nadhani una dilemma sababu unadhani Daimond made you, and you will be reduced to nothing kama ukiachana nae, just want to let you know hii ni dilemma inayowaface wanawake wengi wanapotaka ku move on , however; you are such a talented girl and you can be successful anywhere, wewe ni asset wasafi, just believe in your abilities. Move on before its too late. Again Pole sana
 
Awe free ili ukamsage mwenzio, jinga kabisa hili lidemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…