Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Kwa hiyo ulaya ukioa hiruhusiwi kusaliti.?Ukisaliti unashtakiwa.........

Halafu ww umemtolea mfano Didy okay Didy nae alioa? Unajicontradict mwenyewe. Ila ulicho kiongea hapo chini, hakipo kama unavyo sema,maana kama ndio hivyo wangekuwa busy sana mahakamani, kwani 90 ya wana chovya nje. Diddy hakushtakiwa kutoka na mfanya kazi wake ambaye alikuwa chini ya label yake,Diddy alishtakiwa kwa kuwa muabuse Girlfriend wakena clip zake zilivuja akimpiga Girlfriend wake kwenye korido ya hotel. Ila mahusiano yao yalikuwa public.

Basi sawa acha na mie ni kuache.
Yaani wewe ni slow leaner balaa na mjuaji balaa
 
Pole sana Zuchu...

Binafsi naomba uachane na Daimond kimya kimya, ongea na Diamond uendelee kufanya kazi wasafi ila mahusiano yasitishe kimya kimya......i nadhani una dilemma sababu Public is involved. Kuna expectations nadhani unadhani unatakiwa uzimeet kwa Public. Hii inakunyima uhuru wa ku move on. Easy way out ni kufanya maamuzi magumu kimya kimya. Ukifanya hivi kutakuwa na less speculations kutoka kwa Public na hivyo kufanya kitendo cha ku move on easy. Pia nadhani una dilemma sababu unadhani Daimond made you, and you will be reduced to nothing kama ukiachana nae, just want to let you know hii ni dilemma inayowaface wanawake wengi wanapotaka ku move on , however; you are such a talented girl and you can be successful anywhere, wewe ni asset wasafi, just believe in your abilities. Move on before its too late. Again Pole sana
 
Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed,

Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa analazimisha furaha nje siku yalipomfika shingoni ndio tukagundua kuwa anasumbuliwa na depression kali,

Wasanii wa kiume hawa deserve good girls, wao wanatakiwa wawe na mikurubembe iloshindikana na mitume ndio wanapanda nayo na kushuka nayo kwa hawa church girls ni mateso na huzuni kwao, soon tutampoteza Zuchu kwenye kiwanda cha muziki na hata kimaisha.

Hakuna binaadamu anayeweza kuvumilia usaliti wa wazi wazi kutoka kwa mwenza wake na akawa sawa, this is too much it's time for him to let her go, leave the girl alone hata kama anakung'ang'ania na kukuganda mtoe kwa nguvu time alone will heal her,

Kwako Zuchu you deserve better, it's clear the man is destroying you, najua unataka kuwaonesha watesi wako kua umeishinda vita lakini jiangalie unapoteza muda wako, at your 30s unapaswa kua umesettle down na mtu mnatengeneza familia, unajikosesha kuzaa kwa kusubiri ndoa kwa muhuni, huyo muhuni hawezi kukupa furaha kamwee tena shukuru huna mtoto, imagine muhuni anakukosesha furaha na upo na kiumbe chake unalea, girl stop it, focus kwenye ajira yako, Allah atakujaalia mume mwenye kheir na wewe,
InnaAllah Maasabirin (Mola yu pamoja na wenye kusubiri)

#FreeZuchu
Awe free ili ukamsage mwenzio, jinga kabisa hili lidemu
 
Back
Top Bottom