Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Umeandika vizuri, ila tambua kitu kimoja kwenye haya maisha hakuna aijuaye kesho yake.....huenda hapo zuchu yupo kwenye safari ya kujifunza kitu ili kumjenga ktk mahusiano na maisha kwa ujumla, kiufupi yupo kwenye kipindi Cha mpito TU.

Zuchu hata anguka Wala kupotea Bali atajifunza vitu na kuwa imara zaida, time heals!!
 
Huna kazi za kufanya?
 
Kipenzi unajua Diamond alishasema, akiwa hamtaki mwanamke anamfanyia matukio, anaondoka mwenyewe. Sasa kishamaliza matukio yote bidada yupo, yaani Mond safari hii kakamatika.

Zuchu kishasema juzi haendi kokote, kujibu ujumbe wa Valentine's day. Hakujua Mond yale maneno ni kumchoma Misa, kuwa tangu kaanza kupenda, hajawahi penda kama anavyompenda Zuchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…