Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Wamesema shughuli yao wanachinja ngamia 21🥴
 
Huyu aidha kafanya kwa wivu baada ya Mondi kutaka kumuoa Zuuh au katumwa na huyo huyo Mondi ili kuipeperusha ndoa
Nakuhakikishia katumwa. Huwa anatumia mwanamke mwingine kumtoa aliyekuwepo. Alimtumia Penny na Jokate kumtoa Wema. Akaja kumtumia Hamisa kumtoa Zari. Akamtumia Luludiva kumtoa Tanasha.

Zuchu kishatumiwa Zari, n.k hajatoka, tuone huyu mrembo kama atatoka. Ila Zuchu hatoki, anataka kuolewa, ili wamuone shujaa kawashinda wanawake wote wa Mond.
 
Na wewe vipi ya kwako?
 
Nilisema ili mda sana anacho mfanyia ni unyanyasaji wa kingono, kama anampenda amtoe kwenye mikataba ile ya 60 to 40 percent. Na amsaport kama solo artist
Mpuuzi kweli wewe, halafu uwekezaji wake alioufanya hela utairudisha wewe? Sema tu waachane kimapenzi tu uko kwenye biashara kuna miongozo ya kuvunja mkataba
 
Bi Khadija anaonesha kabisa kishachoka, ameshaongea hadi kaamua kumuachia Mungu, Zuchu anaona kama akiachia ngazi atachekwa zaidi kumbe hajui watu husahau na yeye atakua kaiponya afya yake ya akili, Mondi pia hataki amuache aende moja kwa moja sababu anamtumia kumuingizia pesa, kiufupi Zuu amekua mateka kwenye nchi yake mwenyewe🙁
 

Kafanye research tena.

Clinton alikua rais wa kwanza kuwa impeached na kidogo imuondoe kwenye kiti cha urais ile scandal.

Kutembea na your subordinate is illegal sababu hakuna balance of power. Mfanyakazi wako hana uhuru wa kukukatalia sababu unaweza retaliate kupitia maslahi yake. Case in point, Zuchu anaweza sema hamtaki mondi ila mondi akaacha kumlipa mshahara wake itabidi zuchu ajirudishe kama umeme wa mgao.

Ime Udoka aliyekuwa kocha wa Boston celtics alitembea na mfanyakazi mwenzake akatimuliwa ukocha.

Kesi zipo nyingi sana. Hata kwenye makampuni ya kawaida ni kosa kutembea na mfanyakazi wako kwa asilimia kubwa. Ikigundulika ni either mtu afukuzwe au mmoja ahamishwe kitengo kama hakuna foul play.
 
Hii ni kama mimi nilivyokuwa kwa mtu Fulani humu🙌
Lakini akikinai labda ataacha mwenyewe...Kuna muda unachoka na matukio una surrender 🤣🤣🤣🤣
 
Na hapo jina la King'ang'a linapokua mwishoe litakua lake kweli🤣🤣
 
hawezi kuruhusu utulivu wa maisha ya mwanae kimahusiano anajua akipendwa huyo mwanamke utajiri utahama.
Hakuna mwanamke anaye faa kwa yule mama!
Shida ndipo inaanzia hapo bas amuozeshe mtoto wa kaka yake binamu sio halamu
 

If so, zuchu kajinga kanapigana vita isiyo na mbele wa la nyuma.
 
Clinton alishtakiwa wapi Kwa usaliti? ungeniambia Abuse,Diddy alimfanyia abuse girlfriend wake na si usaliti. Wanaume karibia asilimia 90 wengi tuna chovya nje,maana kama ingekuwa hivyo sijui huko mahakamani wangedeal na kesi ngapi.

Kuhusu kutembea na mfanyakazi wake hilo sio kosa kabisa halijawahi kuwa kosa
 
Hii ni kama mimi nilivyokuwa kwa mtu Fulani humu🙌
Lakini akikinai labda ataacha mwenyewe...Kuna muda unachoka na matukio una surrender 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 toyeye hunaga siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…