Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Sema wanawake sometimes ni wapumbavu sana. Ina maana Zuchu kabla hajamvulia nguo uyo muhuni wa tandare alikua hajui kwamba jamaa ni badboy.

Kizazi cha vijana wa sasa tuna tatizo kubwa sana kwenye kufanya vetting ya mtu wa kuwa na mahusiano nae. Tunapuuza red flags na past ya mtu tukifikiri atabadilika.
 
Sasa naanza kuelewa vizuri, kuna weekend moja nilikuwa sehemu nikakakuta kavideo queen pia hapo. Sasa katika story inasemekana Mond huwa anavila sana hivi vitoto, anavipangia. Mwendo ni kuvipelekea moto, naona mmoja wapo waliomtaja ni haka.

Na kuna vingine, video queen, vitoto navyo vinapenda bana. Zuchu atulie tu, ajue anampenda mwanaume wa aina gani, lah atakufa kihoro akiyajua yote anayoyafanya.
 
Nasikia threesome na vitoto ndiyo habari yake....mama Zuu anampoteza mtoto...amwambie waachane
 

We jamaa mbona mbishi sana wakati kila kitu kipo online. Kesi ya Clinton kuwa impeached by the congress ipo well documented, google is free.

Kutembea na mfanyakazi wako ni kosa kwenye nchi za watu wanaojielewa. Jisomee hapo:

In January 1998, news broke that President Clinton had engaged in an affair with a White House intern, Monica Lewinsky. This story was political dynamite, not just because it was a sex scandal, but also because it had dire legal implications.

During pre-trial discovery in the lawsuit, Clinton gave testimony denying that he had engaged in a sexual relationship with White House intern Monica Lewinsky. The catalyst for the president's impeachment was the Starr Report, a September 1998 report prepared by Ken Starr, Independent Counsel, for the House Judiciary Committee. The Starr Report included details outlining a sexual relationship between Clinton and Lewinsky.[1] Clinton was the second American president to be impeached, the first being Andrew Johnson, who was impeached in 1868.[a]


Kesi nyingine hii hapa:

Sources: Investigation found Boston Celtics coach Ime Udoka used crude language in dialogue with female subordinate prior to start of improper relationship​


 
Hasa mama ake, hakuna mwanamke wa mwanae alishampenda yeye anawaza kila mwanamke anafata hela tu, kumbe kuna wengine wana mapenzi kama huyo Zuchu
Hata ungekua wewe ndio mama diamond unafikiri ungekua na mawazo gani kwa hivi vikina dada vinavyong'ang'ania kujishikiza kwa mtoto wako.

Kwa mafanikio ya diamond hata yeye mwenyewe sio rahisi kujua nani anampenda nani kafata pesa ndio maana anaona awapelekee moto tu na kuachana nao
 
Wadada wanamkubali Diamond ili wapate status na hela.
Sasa huyu rita analalamika hata hela ya kula alikua hapewi🥲 kumbe Diamond ni bahili kuhonga duuh
 
kwani ZUCHU amelalamika?
 
I believe ww ni mwanume unasema ulaya wanaume hushtakiwa kwa usaliti, zaidi ya asilimia 90 wanaume tunachovya nje.Ndio maana nimekuuliza kama ingekuwa hivyo huko mahakamani si kila siku wangejaa wao na wake zao.

Ndio maana kama sikosei Clinton alitoka madarakani 2001,lile lilikuwa kosa la kimaadili sababu yule ni Rais.

Haya Musk huyu hapa.
 
I believe ww ni mwanume unasema ulaya wanaume hushtakiwa kwa usaliti, zaidi ya asilimia 90 wanaume tunachovya nje.Ndio maana nimekuuliza kama ingekuwa hivyo huko mahakamani si kila siku wangejaa wao na wake zao.

Usaliti ni kosa kisheria ndo maana Ulaya divorce rate ipo well over 60%.

Kutembea na mfanyakazi wako sio kosa kwa mke wako tu bali hata kisheria na policy ya makampuni haikubali. So unaweza tembe na mfanyakazi wako kampuni ikakufungulia kesi sio hata mwenza wako. Sijui kama unaelewa.

Clinton alisamehewa na mkewe ila congress impeached him kwa kutembea na intern wake. Udoka alifukuzwa ukocha wa timu hata kama mkewe alimsaheme.

Ukisaliti na mtu mwingine nje ya kampuni hiyo ni kesi yako wewe na mwenza wako kampuni haihusiki ila ukitembea na mtu ndani ya ofisi yako tena aliyechini yako hapo kuna interest ya kampuni, kwa nchi za watu walioendelea hiyo ni kesi. Elewa the difference.
 
Huyu nae? Kwa wanaume ni swala kamtamani nani na wapi, ila usaliti kwetu ni Pie.
 
Video vixens wengi huwa ni mabinti walio desperate kupata umaarufu ndio maana wasanii wanapitia humo humo kutoka nao. Japo nao huwa wakipata fame kiasi, dau lao hupanda na chances za kupata wanaume wenye pesa hukua zaidi..

Ingawa hii ni kwa wachache kama Gigy, waliobaki huwa wanaburuzwa na hawapati chochote
 
Wadada wanamkubali Diamond ili wapate status na hela.
Sasa huyu rita analalamika hata hela ya kula alikua hapewi🥲 kumbe Diamond ni bahili kuhonga duuh
Nasikia Mond ana kaubahili fulani, anaweza kumpangia mtu, akatoa kodi mara moja kishakukinai halipi tena 😅😅😅😅😅 kweli watoto wanataka status kuwa kaliwa na Mond!!!
Kuna habari niliisikiaga, siwezi iweka hapa. Ni huzuni na inatisha sana kama kweli hufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…