Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

Wewe unajuaje kua mimi ni kijana kama unavyodai?
Mods wanatakiwa wafute hii thd ya hovyo kabisa.
 
Hiki kipigo anachokula Mtandale ni kama Surviving R Kelly ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ni mda mrefu nasoma maandishi yako nilikua nakuona mtu wa maana sana na mwenye akili lakini leo nimekuona wa hovyo sana,na unaonekana umejaa chuki ambazo hazina maana
Hili bandiko limejaa chuki za kitoto sana.
 
Hahahahahah hii mbwa kala mbwa
 
ROBERT HERIEL tafakari tena ulichoandika.

Jamii ipo kwenye muelekeo sahihi kuamini Maandiko unayoyaandika hapa. Hasa yale fikirishi.

Lakini, unapoanza kuwatusi, kuwatukana, kuwakejeli, kuwadharau, kuwasimanga na kuwaona si lolote watu wenye mtazamo tofauti na mtu mmoja hakika unajitia aibu sana.

Najua kweli njaa inauma na haina baunsa, lakini kujipendekeza kwa namna ya matusi kwa wengine ni ushamba na ulimbukeni uliopita kiwango.

Mambo haya waachie wanazi wa CCM na CDM, Yanga na Simba
 

Karibu Mkuu.

Ukweli ndivyo ulivyo.
 
Karibu Mkuu.

Ukweli ndivyo ulivyo.
Ipo siku unanikumbuka.

Kwa sasa nafuta chochote kichwani (unlearn) nilichojifunza kwenye juzi zako zote fikirishi.

Na kuanzia leo naku unfollow, my worry is unaweza kunijazia takataka kichwani mwangu kwa maandishi.

Imagine mm ni CCM damu na Mond ni CCM maslahi lkn sikubaliani namna ulivyowa treat wapinzani wangu (wanaharakati)
 
Yaani atunanange kwenye kampeni halafu tusikitike yeye kukosa tuzo
apambane na hali yake
 
Hapa mshamba na limbukeni ni Diamond, unamsaidiaje sasa?
 
Mkuu sometyme unapost utumbo kinyama boss, unatakiwa uiangalie rank ya Tz globally , alaf ndo uanze kumponda Diamond.

Staki kukuuliza kuwa ww umeifanyia nini tz kias cha Cha kuzikalisha nchi takriban 54 za Africa na kuingia Newyorkcity kuiwakilisha nchi , post yako hii watakushabikia watu wasiojielewa tuu na wasio na maono haters na loosers , huenda we Una degree yako na ni kweli Diamond kaishia sjui form two sjui form four na hata managers wake hawako educated lakin wameweza kushine na kuifikisha WCB among of the powerful music label in Africa ,

Kwa vipaji vyao wamefanya walichoweza , wewe mwanaharakat umeifanyia nn nchi kwa uanaharakati wako Mzee, tukiachana na Mbwana samata ni mtz gani Kwa Nyanja zote za vipaji kuanzia siasa, technolojia , social , michezo , uigizaji n.k anayejikokota globaly tokea kwenye nchi ambayo ipo kwenye top ten among poorest countries in the world....!!

We unamuona mshamba Ila ndo kafika hapo alipo ...!! Na imempa mileage kubwa Sana , Kwa sasa anaweza hata kumunong'oneza hata drake wafanye naye kolabo, sjui wewe hapo ni mwaharakat gan maarufu duniani unaweza fanya naye mahojiano akakuelewa....

Mawazo yako ni sahihi Kwa matazamio wako ,...!!
 
Watu tunapenda kuishi maisha ya watu duh!!!

Sijui katika taifa hili wangapi walishapata Tuzo..., Cha maana jamaa aishi anavyopenda yeye sio kufurahisha / kupendezesha watu...,

Life - Ride it until the Wheels Falls Off...., Hakuna muda wa kujutia, alipofikia tayari ni pakubwa Success sio destination hata angeshinda hizi Tuzo bado asingeziba watu midomo
 

Unafikiri kuwa Public Figure ni kuwa mwenyeketi wa Familia yako Mkuu?
 

Sijamponda nimemshauri
 
huu muda wa kuandika uharo ungetumia kulima matikiti hapo japo ubadili mboga hapo kijijini.
 
Unafikiri kuwa Public Figure ni kuwa mwenyeketi wa Familia yako Mkuu?
Kwahio ukiwa Public Figure ufuate Public inataka nini (na wewe ndio ushauri wako huo) ?, Hivi unadhani ma-star wengi kwanini mwisho wao huwa ni addiction na drugs (sababu ya pressure kama hizi) watu wanakupangia maisha...

Kazi ya huyu dogo ni kutoa kazi (ambazo kama unazipenda unanunua hutaki unaacha), hayo mengine ya kufuatilia maisha yake ni kukosa kazi...
 

Watu hawakupangii maisha Ila interest na position ya mtu ndio humpangia maisha mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ