Diamond usiwapuuze wanaokuandama sasa, hao sio shilawadu au Konde Gang. Chukua hoja zao

Kijana hana washauri wazuri !! mambo ya Usanii na Siasa ni kuwa makini nayo saana, watanzania wanamuhukumu kupitia mitandao.

Ningekuwa mimi, nabadilisha benchi lote la ufundi, naomba radhi naanza ukurasa mpya !!
π™Έπš•πš˜ πš‹πšŽπš—πšŒπš‘ πš•πšŠπš”πšŽ πš•πšŠ πšžπšπšžπš—πšπš’ πš—πšπš’πš’πš˜ πš•πš’πš–πšŽπš–πšπš’πš”πš’πšœπš‘πšŠ πš‘πšŠπš™πš˜ πšŠπš•πš’πš™πš˜ πš•πšŽπš˜ πšŠπš•πšŠπšπšž πšŠπš•πšŠπšŒπš‘πšŽ πšŠπšŒπšžπš”πšžπšŽ πš•πš’πšπšŠπš”πšŠπš•πš˜ πš–πš™πšŽπš•πšŽπš”πšŠ πšŒπš‘πš’πš—πš’ 𝚊𝚞?
 
Kakaa kimya mnataka aseme ... wabongo tunashida kubwa sana mtu mnamshambulia alafu mnamfundisha jinsi ya kulia?
Unakaaje kimya wakati mshirika wako anaua watu na kuwatupia kwenye viroba?
 
Diamond alikuwepo?
 
Acha kumtisha Diamond. Huyo ni Dangote wa Bongo hatishwi na wavimba macho wa mitandaoni. Chibu yupo jana, leo na kesho. Simba songa mbele achana nao na usipoteze kuwajibu. Tupo wa kukusemea!!!
 
Kijana hana washauri wazuri !! mambo ya Usanii na Siasa ni kuwa makini nayo saana, watanzania wanamuhukumu kupitia mitandao.

Ningekuwa mimi, nabadilisha benchi lote la ufundi, naomba radhi naanza ukurasa mpya !!
Kijana hana washauri wazuri !! mambo ya Usanii na Siasa ni kuwa makini nayo saana, watanzania wanamuhukumu kupitia mitandao.

Ningekuwa mimi, nabadilisha benchi lote la ufundi, naomba radhi naanza ukurasa mpya !!
Hawezi kuacha benchi lake la ufundi kisa wapiga domo wa mitandaoni, wao ndio wamemsaidia pale halipo, huyo Kigogo angekuwa sio muoga wa serikali angeonya sura yake
 
Acha kumtisha na hao wanaharakati uchwara. Kama wananguvu si wangezitumia kupata Kura kwenye chaguzi.

Hao ni waganga njaa tu waliojificha kwenye Siasa
 
Unahangdaika bure tu!

Diamond hata akikosa hyo tuzo ataendelea kuwa icon wa muziki hapa tz na EAC kwa ujumla huku chadema ikiendelea kuwa chama cha upinzani.

[emoji23][emoji23][emoji23]Yani ukitafakari sana kwamba kwenye hii kampeni mna gain kitu gani unabaki kuwahurumia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…