Diamond Vs P square Youtube

nimesema wimbo wa mwisho wa diamond kuwa viwer wengi ni nana baada ya hapo hakuna viewer zaidi ya million 6 mpaka sasa hebu kuwa muelewa wewe mnyakyusa wa wapi mgumu kuelewa
we jamaa una akili????unataja kabila la watu la nini???na kwanini unabisha kitu ambacho sio kweli??...
 
Acha nikaingeze idadi[emoji1]
 
Diamond Platnumz kama Usain Bolt, kawapita P Square kama Bolt akikaribia finish line. Hongera sana Domo na Rayvanny, hao ndio unaostahili kushindanishwa nao, huku East, Central na Southern Africa huna mpinzani. [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
 
Mtoa Mada rud youtube alafu uje na majibu tena hapa jamvin@team dymond hapa
 
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi

Hasa ka reyvanny

Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti

"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"

Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??

Akaendelea

"Tukimbizane nini Salome wangu hiyo michezo ya jogoo"

Matusi yakaendelea

"mbona watizama chini salome wangu ukimwona jongoo (kidudu)"

Matusi yakaanza kuwa makubwa

"inama chini shika magoti (doggy flani) mi nimesimama kama ngogoti (kadinda)"

Mtoto jojo (mlaini) sio roboti (sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"

Aisee dai si akaingia kucement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabog'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini

Dai sasa

"unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)

Verse ya dai naye akaendeleza sex maana utasikia "utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifulia kuwa na yeye kwenye sex sio "ngenge ni nganga"


Mama yangu Ray si akaja na matuzi makubwa zaidi

"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome

*Matusi matupu*

Niko natafakari kwasababu Mimi ndo nilimtumia hii nyimbo mshua madai asikilize wimbo Wa saida umeimbwa na dai na nikaisifia sana sasa najiuliza akiniuliza maana ya wimbo nitamjibu je??
 
Reactions: MC7
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi

Niko natafakari kwasababu Mimi ndo nilimtumia hii nyimbo mshua madai asikilize wimbo Wa saida umeimbwa na dai na nikaisifia sana sasa najiuliza akiniuliza maana ya wimbo nitamjibu je??
kama ni mzee sana hataelewa,ila akikuuliza mwambie una kazi nyingi utamjibu siku nyingine
 
Hahaahahhahahha aiseeeh umeichambua vzur sana. Ila km mshua ni mtu wa Kagera ondoa shaka.ataifurai sana
 
Ila mnataka kulinganisha hao p square na diamond?
P square waache na nafasi yao ya mziki hapa afrika usiwafananishe na chibu!
Wale ni levo za kipekee kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…