Wewe unaangalia ukubwa wa msanii kwa kutumia kigezo gani mkuu?P.square ilikua ni zamani ila sasahivi p.square hawamuwezi diamond na Africa nzima wanalijua hilo
Unajikanganyawimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
P.square ilikua ni zamani ila sasahivi p.square hawamuwezi diamond na Africa nzima wanalijua hilo[/
ivi kwa uelewa wako unaweza ukafananisha vdeo ya diamond na ya psquare..hata effect ya Clarence peters hamuioni..kweli diamond kawafanya watanzania kuwa vpofu..
diamond ana fans..
na hicho kitu ndio kinawatetemesha wasanii wengi sana Africa..
na ndicho wanachokitamani wasanii wote ..
=kuwa na mashabiki ambao wanasapoti kazi zako..
= kuwa na mashabiki wanaokusapoti kwa chochote.
na hivo ni vitu diamond anavyo..
na ndio vinamfanya msanii kuwa juu..
uwe na sauti usiwe na sauti ila watu wakikukubali
wakaamua kukuweka juu..
na wewe bila kuwaangusha ukawapa wanachohitaji..
unaweza kuwa MICHAEL JACKSON
Update 23/09/2016 @05:08Mpaka sasa BANK ALERT ya P SQUARE imetazamwa mara 702,019 kwa SIKU TATU(three days ago) wakati SALOME ya DIAMOND imetazamwa mara 655,513 kwa SIKU MOJA(one day ago)....inawezekana ikifikisha siku tatu itakuwa ni 1.5M.
Youtube haidanganyi ukitazama unahesabika!!!
Hahahaaaa.... "AJE"Nagaramia una viewers wangapi hadi leo
Ukiwa na viwers weng youtube unalipwaHivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
Mpaka sasa BANK ALERT ya P SQUARE imetazamwa mara 702,019 kwa SIKU TATU(three days ago) wakati SALOME ya DIAMOND imetazamwa mara 655,513 kwa SIKU MOJA(one day ago)....inawezekana ikifikisha siku tatu itakuwa ni 1.5M.
Youtube haidanganyi ukitazama unahesabika!!!
Mkuu pole sana kwa kubishana na hilo bogus yaani ni libishi hatari ukweli linajua ila ubishi umeota miziziKwenda Zako hunalolote.
Hahaha umenikumbushwa kijijini kwetu babu yangu akiongea kiswahil kwa lafudh ya kihaya babuuuKawaida yako team mfwalme kiba. Hua unatetea mpk pasipo na tija