Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
N
Niliwahi kuambiwa na mkewangu niliyeishi naye miaka kadhaa kuwa nikitaka kuwaona watoto atahakikisha ananifanyia kitu ambacho sitakaa niamini, na hakuna rangi nitaacha kuiona. sikumuelewa ilibidi niwe mpole.Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.View attachment 1079519View attachment 1079521View attachment 1079522