OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
sasa anamuomba nani wakati yeye ni mungu. anajiomba mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajiita mfalme Zumaridi Mungu chini ya jua sio nguvu ya Mungu chini ya juaMfalme zumaridi nguvu ya mungu chini ya jua..hakika utashinda dhidi ya watesi.
#MaendeleoHayanaChama
Hivi mtume Issa Bin Mariam, Kristo hakujua kama jamaa kamsariti na baadaye wakaja kumkamata ili asepe?.Mfalme Zumaridi uchwara hukuoteshwa na bwana kwamba unakuja kukamatwa usepe .
Hii habari imejaa uongo.
hangayaMbona tuna chifu mwanamke
Wote ni wezi kwenye shamba la mwenyewe...kila mtu anakusanya kivyake, kutoa matamko kunaweza kumwamsha mwenye shamba usingizini.Macho ya rohoni yanahitajika katika hili sijasikia lolote kutoka kwa Mitume na Manabii wa nchi hii juu ya mwenendo tofauti wa dada ZUMARIDI
Kama anakoboa wengine je?Mfalme = King!
Hivi kuna mfalme (king) wa kike??
Na wafuasi anao kabisa?
Tatizo ndiyo hilo, kila kitu tunataka tuishi kutokana na mapokeo...acha awe mfalme wa kwanza wa kiume[emoji851][emoji851][emoji851]Mfalme = King!
Hivi kuna mfalme (king) wa kike??
Na wafuasi anao kabisa?
Sio wengine ni walewale ndugu acha uchunguzi ufanyike.Sid
Sidhani Kama wana ukaribu na Zumaridi Hawa no wengine tofauti.
Acha vyombo vya dola vifanye uchunguzi ,usihukumu usije ukahukumiwa , simple logic but very meaningful .Mleta mada mwongo mkubwa hilo kanisa limekuwepo muda mrefu na mleta mada amekuwa mkorofi muda mrefu dhidi ya hilo kanisa amekuwa akijaza mifitina kibao kuibusu hilo kanisa muda mrefu hum Jamii forums
Ana pepo mchafu kaanza.muda mrefu sana kulipakazia hill kanisa la Bethel sasa kaamua kutunga uongo kuwa hao wa Zumaridi
Acha vyombo vya dola vifanye uchunguzi ,usihukumu usije ukahukumiwa , simple logic but very meaningful .Mleta mada mwongo mkubwa hilo kanisa limekuwepo muda mrefu na mleta mada amekuwa mkorofi muda mrefu dhidi ya hilo kanisa amekuwa akijaza mifitina kibao kuibusu hilo kanisa muda mrefu hum Jamii forums
Ana pepo mchafu kaanza.muda mrefu sana kulipakazia hill kanisa la Bethel sasa kaamua kutunga uongo kuwa hao wa Zumaridi
Hawa wameshakuwa na kichaa nisichojua jina. Maendeleo ya jamii waongezewe bajet ya kurekebisha ongezeko la kas la wagonjwa wa akili ikiwemo hawa wahanga wa tapeli zumarid na wapewe ushaur nasahaMfalme = King!
Hivi kuna mfalme (king) wa kike??
Na wafuasi anao kabisa?
Aisee Zumaridi, ukimaliza msala naomba huyu dada wa nyuma yako mwenye amevaa track ya blue anitafute inbox nina jambo naye tafadhariMchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili.
Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa 9:00 mchana kisha watuhumiwa hao kuamuriwa kuingia ndani ya mahakama hiyo.
Akishuka katika gari ya polisi iliyokuwa imembeba, Zumaridi amesikika akisema "Mimi ndiyo Mfalme’ huku akionyesha ishara ya kuomba.
Miongoni mwa waliofanikishwa mahakamani hapo wakiwa na mhubiri huyo ni vijana wanaokadiliwa kuwa na umri kati ya miaka 18 hadi 45 na wazee wa jinsia zote wanaodhaniwa kuwa na umri kuanzia miaka 45 hadi 65.
Source: Mwananchi
View attachment 2137530
=====
Mfalme’ Zumaridi, waumini wake kizimbani, wakataa dhamana
Mwanza. Diana Bundala maarufu kama ‘mfalme Zumaridi na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binada, shambulio la kudhuru mwili na kuzuia maofisa wa Serikali kutimiza wajibu.
Mwendesha mashtaka wa serikali amesema katika kesi namba 10/2022 inayomkabili Zumaridi peke yake akidaiwa kusafirisha binadamu wakiwemo watoto wenye umri chini ya miaka 18 kinyume cha kifungu namba 4(1) (A) na 6(2) (A) cha sheria ya kuzuia usafirishaji haramu wa binadamu namba 6 ya mwaka 2008.
Katika kesi namba 11/2022, Luvinga amesema Zumaridi na nwenzake wanane wanadaiwa kufanya shambulio la kudhuru mwili askari wa Jeshi la Polisi waliofika nyumbani kwake kutekeleza wajibu wao kinyume cha kifungu namba 241 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.
Washtakiwa hao pia wanadaiwa kuwazuia maofisa wa Serikali kutimiza wajibu wao kinyume cha kifungu namba 114(A) kifungu kidogo B cha Kanuni ya Adhabu.
Katika kesi namba 12/2022, mwendesha mashataka huyo aliiambia Mahakama mbele ya Hakimu Mfawidhi Mwandamizi Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, Monica Ndyekubora kuwa Zumaridi na wenzake 92 wanadaiwa kufanya kusanyiko lisilo halali kinyume cha kifungu cha 74(1) na 75 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.
Washatkiwa walikana mashtaka yao katika shauri namba 11 na 12 huku upande wa Jamhuri ukiieleza Mahakama kuwa upeleleza kuhusu mashauri hayo mawili umekamilika na kuomba kupagiwa siku ya kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali.
Kuhusu shauri namba 10 la usafirishaji haramu wa binadamu linalomkabili Zumaridi, mshtakiwa hakutakiwa kujibu lolote kutokana na Mahakama hiyo kutokuwa na uwezo kisheria kusikiliza kesi hiyo.
Licha ya mashtaka namba 11 na 12 kuwa na dhamana huku baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wamejitokeza kuwadhamini, washtaki wote wanaowakilishwa na Wakili Erick Mutta walikataa dhamana wakisisitiza kuwa wako tayari kwenda mahabusu kuungana na kiongozi wao anayekabiliwa na kesi ya usafirishaji haramu wa binadamu isiyo na dhamana.
Kutokana na uamuzi huo, Hakimu Ndyekubora ameamuru washtakiwa wote kupelekwa mahabusu hadi Machi 17, shauri hilo litakapotakwa kwa ajili ya washatakiwa kusomewa maelezo ya awali katika shauri namba 11 na 12.
Pia, soma;
1). Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149
2). Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa
3). Mfalme Zumaridi ni nani haswa?
View attachment 2137726
View attachment 2137728View attachment 2137729
Afadhali polisi wamewahi kuwakamata,hii inafanana na aliyejiita Askof Kibwetere kuliko Uganda.Aliwachoma moto waguasi wake,akawafungia ndani ya nyumba,akawaambia ni mwisho wa dunia.Kosa Ni kuzuia polisi wasitekeleze summons waliyopewa na mahakama kwenda kumchukua mtoto ambaye mama yake amaekatalia huko kwa Zumaridi na wanaishi huko pamoja na Zumaridi, naa kusoma hasomi.
Hivyo baba wa mtoto kaamua kufile application kwaajili ya custody ya mtoto atoke huko kwa Zumaridi, maana hasomi wapo tu huko na mama yake na mama yake amegoma kuondoka kwa zumaridi na kuamua kuvunja ndoa.
Shida ilikija pale ambapo polisi wameenda wakafukizwa na makerubi au malaika wa zumaridi na kushindwa kumchukua mtoto. Hivyo polisi waliamua kuja Mara ya pili ndipo walipopata uhalifu mwingine unafanyika.