Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

Tusipoangalia watageuka wafia dini, haya wamegoma kutoka sello pamoja na kuwapa kipigo cha mbwakoko
 
Akili yake iko sawa, na atafungwa kwa uzembe wake, aacha ajifanye chizi.
 
Hawa wameshakuwa na kichaa nisichojua jina. Maendeleo ya jamii waongezewe bajet ya kurekebisha ongezeko la kas la wagonjwa wa akili ikiwemo hawa wahanga wa tapeli zumarid na wapewe ushaur nasaha
Nakuelewa. Dalili za ushoga zimejificha ndani yao.
 
Tatizo ndiyo hilo, kila kitu tunataka tuishi kutokana na mapokeo...acha awe mfalme wa kwanza wa kiume[emoji851][emoji851][emoji851]
Ukiona mtu anakataa uhalisia wa jinsia ya mapokeo ujue ni dalili tosha za ushoga! Watu wanataka wawe defined differently.
 
Aisee Zumaridi, ukimaliza msala naomba huyu dada wa nyuma yako mwenye amevaa track ya blue anitafute inbox nina jambo naye tafadhari
Mpk zumarid anapazwa nae achakatwe tu Ni huyo kijn aliye nyuma siyo bure vijana wanna wall wamam sana
 
Hata huko ulimwengu wa kwanza kwenye watu wengi walioelimika vizuri mambo kama haya yapo.
Huyu Mwanamama na wafuasi wake ni zao la elimu yetu hii....
 
Hawa wasichana wadogo wana kosa gani? Mbona wajinga wanaongezeka kwa kasi?
 
Mleta mada mwongo mkubwa hilo kanisa limekuwepo muda mrefu na mleta mada amekuwa mkorofi muda mrefu dhidi ya hilo kanisa amekuwa akijaza mifitina kibao kuibusu hilo kanisa muda mrefu hum Jamii forums

Ana pepo mchafu kaanza.muda mrefu sana kulipakazia hill kanisa la Bethel sasa kaamua kutunga uongo kuwa hao wa Zumaridi
Hivi wewe umeishia darasa la ngapi kwanza ? Usisumbue watu vitu simple tu huelewi vimeanishwa hapo juu ,kila kitu kina sheria na taratibu zake , makanisa , misikiti Yana sheria na taratibu zake . Huelewi nini sasa ? Huo ulokole wenu muwe mnasoma muelimike , kifupi kanisa lazima lisajiliwe , pili liwe na kibali cha kuendesha ibada , kama linajengwa liwe na kibali cha ujenzi kutoka manispaa au mamlaka husika , hata kibali ukipata kina masharti yake jinsi ya kuendesha ibada ikiwemo sheria no 147 ya mazingira inayataka sauti za muziki na mahubiri yasizidi desibeli 40 , sasa kanisa lako halina hata kimoja ,kuna fitina gani hapo ? Hayo ni kwa kifupi , muhurumieni Yesu Kristu kwa kutapeli waumini kwa kutumia jina lake tafadhali .
 
Hawa wameshakuwa na kichaa nisichojua jina. Maendeleo ya jamii waongezewe bajet ya kurekebisha ongezeko la kas la wagonjwa wa akili ikiwemo hawa wahanga wa tapeli zumarid na wapewe ushaur nasaha
Mkuu wachungaji wengi , manabii , mitume ni matapeli wa kutupa wanatumia ulaghai , utapeli , ushirikina kuhadaa mbumbumbu ndio hakuna kiongozi wa dini hata mmoja aliyetoa tamko kulaani yanayofanywa empty set Zumaridi na wengine wengi .
 
Umasikini wa akili mbaya sana. Huyo Mama/Mdada kafanikiwa kutapeli watu kwa idiology ya ajabu.
Ndugu yeye na wachungaji wengi ,manabii , mitume wengi ni wajasilia dini a .k.a wajasilia kanisa wajinga ndio waliwao .
 
Hivi mtume Issa Bin Mariam, Kristo hakujua kama jamaa kamsariti na baadaye wakaja kumkamata ili asepe?.

👉🏾 Comment nyingine huwa napima akili naona hapa kutakuwa na watoto wa Sunday School.
Weweeeeeeeeeee acha kimlinganisha Yesu Kristu na takataka huyo Shemale wenu huna hata aibu? Yesu Kristu umfananishe na Diana Bundala nadhani wachangiaji wameshamjua mtoto wa Sunday school .
 
Back
Top Bottom