Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

Mfalme zumaridi nguvu ya mungu chini ya jua..hakika utashinda dhidi ya watesi.

#MaendeleoHayanaChama
Anajiita mfalme Zumaridi Mungu chini ya jua sio nguvu ya Mungu chini ya jua

Kwa nini anajiita mfalme sio malkia? Jibu rahisi wanaomjua wanasema ni Msagaji yeye ni dume jike ndio maana hata Sauti huunguruma kama dume
 
Serekali iko haji kuwa sirous na mitume na manabii ukosefu wa kibarua pia kunasababisha kutokea kwa matapeli wengi
 
Mfalme Zumaridi uchwara hukuoteshwa na bwana kwamba unakuja kukamatwa usepe .
Hivi mtume Issa Bin Mariam, Kristo hakujua kama jamaa kamsariti na baadaye wakaja kumkamata ili asepe?.

👉🏾 Comment nyingine huwa napima akili naona hapa kutakuwa na watoto wa Sunday School.
 
Macho ya rohoni yanahitajika katika hili sijasikia lolote kutoka kwa Mitume na Manabii wa nchi hii juu ya mwenendo tofauti wa dada ZUMARIDI
Wote ni wezi kwenye shamba la mwenyewe...kila mtu anakusanya kivyake, kutoa matamko kunaweza kumwamsha mwenye shamba usingizini.
 
Mfalme = King!
Hivi kuna mfalme (king) wa kike??
Na wafuasi anao kabisa?
Tatizo ndiyo hilo, kila kitu tunataka tuishi kutokana na mapokeo...acha awe mfalme wa kwanza wa kiume[emoji851][emoji851][emoji851]
 

Mfalme Zumaridi (Mwenye sweta la bluu)na wenzake 92 wakitoka kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza kusomewa mashtaka yanayowakabili.
 
Umasikini wa akili mbaya sana. Huyo Mama/Mdada kafanikiwa kutapeli watu kwa idiology ya ajabu.
 
Acha vyombo vya dola vifanye uchunguzi ,usihukumu usije ukahukumiwa , simple logic but very meaningful .
 
Acha vyombo vya dola vifanye uchunguzi ,usihukumu usije ukahukumiwa , simple logic but very meaningful .
 
Mfalme = King!
Hivi kuna mfalme (king) wa kike??
Na wafuasi anao kabisa?
Hawa wameshakuwa na kichaa nisichojua jina. Maendeleo ya jamii waongezewe bajet ya kurekebisha ongezeko la kas la wagonjwa wa akili ikiwemo hawa wahanga wa tapeli zumarid na wapewe ushaur nasaha
 
Aisee Zumaridi, ukimaliza msala naomba huyu dada wa nyuma yako mwenye amevaa track ya blue anitafute inbox nina jambo naye tafadhari
 
Afadhali polisi wamewahi kuwakamata,hii inafanana na aliyejiita Askof Kibwetere kuliko Uganda.Aliwachoma moto waguasi wake,akawafungia ndani ya nyumba,akawaambia ni mwisho wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…