Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalale pembeni yake huko chattoNchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Dikteta ambaye hajawahi kutokea nchi hii. Pombe ********Tatizo la JPM yeye aliamini bunduki ndio kila kitu na alitaka ili akuelewe akapatie kadi ya CCM au ujitoe akili kama Lyatonga(uwe zuzu)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106][emoji106]Kwanini mnapenda vita? wewe ulale na mumeo nyumbani Mbowe awe magereza kukutetea wewe? shame on you
Kwanini mnapenda vita? wewe ulale na mumeo nyumbani Mbowe awe magereza kukutetea wewe? shame on you
Mleta mada naona kama umevuta ya kuchanganya.
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Mleta mada naona kama umevuta ya kuchanganya.
Umesahau HAKI ya mtu haipotei ila unachekeweshwa.
Kwa akili yako kiwango cha lami unaona alichotenda yule mwenda ni sawa. Au wivu umekujaa wao kupata haki yao.
Nawe pambana na ya kwako.!
Ndiyo nini?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106][emoji106]
Wanataka Mbowe awe magereza na mahakamani huku wao wanafanya mapenzi na waume zao. Shame on themKama hizo ni kauli za diasport basi itoshe kusema ni WASENGEREMA na akili zao Hazina akili kabisaa! Kwa hiyo walitaka Mbowe asilipwe fedha zake alizodhulumiwa na yule Shetani wa Chato! Au akilipwa amtukane Rais ili awe mpinzani kweli?! They should learn to give credit where it is due!
Kwani mumeo hawezi kupigana?Kwani mwanzo mbowe alikuwa hajui kuwa HAKI NI GHARAMA?
Sasa kaamua kuunga JUHUDI?
aliyoyapigania mpaka mkaanza kumuita MWAMBA AMESHAYAPATA?
AU KABADILI GIA ANGANI
Mkuu bila kumsahau sokoineNchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Wanacholalamikia Diaspora ni kwanini Mbowe na wenzake wamejali ya kwao binafsi na kusahamu umma ambao uko nyuma yao, kwenye demokrasia mama hajafanya chochote Mbowe angewezaje kumsifia mama?Mleta mada naona kama umevuta ya kuchanganya.
Umesahau HAKI ya mtu haipotei ila unachekeweshwa.
Kwa akili yako kiwango cha lami unaona alichotenda yule mwenda ni sawa. Au wivu umekujaa wao kupata haki yao.
Nawe pambana na ya kwako.!
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Haki zako akupiganie Mbowe, uko sawa kweli?Ubaya wa Haki ni kwamba ukipewa wewe haki yako UTASAHAU HAKI ZA WENGINE.
NI kweli magufuli alimnyima mbowe haki yake ndo maana aliipigania.sasa kapewa haki yake je Atakumbuka HAKI ZA WENGINE?