mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Wapumbavu sana, warudi waje wadai wao hizo haki zao,Wanataka Mbowe awe magereza na mahakamani huku wao wanafanya mapenzi na waume zao. Shame on them
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu sana, warudi waje wadai wao hizo haki zao,Wanataka Mbowe awe magereza na mahakamani huku wao wanafanya mapenzi na waume zao. Shame on them
Wao wameolewa njeWapumbavu sana, warudi waje wadai wao hizo haki zao,
Yeye kaunga juhudi sawa,lianzishe wewe sasa mwenye misimamo thabiti.Kwani mwanzo mbowe alikuwa hajui kuwa HAKI NI GHARAMA?
Sasa kaamua kuunga JUHUDI?
aliyoyapigania mpaka mkaanza kumuita MWAMBA AMESHAYAPATA?
AU KABADILI GIA ANGANI
Kumbe mbowe alikuwa anapapatua Bilkanas apige hela, nadhani Mbowe amepotokaWanataka Mbowe awe magereza na mahakamani huku wao wanafanya mapenzi na waume zao. Shame on them
ametatuliwa mambo yake binafsi hakuangalia maslahi ya umma, demokrasia ni ndoto TanzaniaMbowe amevunja sheria gani kumsifia Samia?
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Kwanini wewe usiangalie?ametatuliwa mambo yake binafsi hakuangalia maslahi ya umma, demokrasia ni ndoto Tanzania
kazikwe pembeni yake.Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Kweli tupu umenenaSasa si pesa zake ama zenu. Humu kuna watu hata wajawahi kulala selo wanabwabwaja tu. Yule aliyelala CHATO hakuwa mtu yule. Unambomolea mtu nyumba yake bila sababu. Unataka kumfunga mtu bila sababu. Kisa tu ni mpinzania. Kuna watu hata kuzikwa ni natumizi mabaya ya ardhi walitakiwa watupwe kwenye bwawa lenye mamba.
Sasa account zimefunguliwa lakini tunahitaji demokrasia bado, hadi sasa Tz majukwa ya kisiasa yamefungwa, katiba mpya ndio imeekwa mfukoni, mbowe yuko bizz kurudisha BilikanasJiwe si alifunga zile ACC bila sababu,hata ungekuwa wewe ungeshukuru zinapofunguliwa
shida siyo hiyo ya kulipwa shida ni kwanini sasahivi amewageuka wanachadema wenziie mpaka kufikia kuwafokea wasifanye maandamano wasitukane viongozi na kuitambua rasmi serikali ya mama nakusema anaupiga mwingi wewe ni nani mpaka ubisheKama hizo ni kauli za diasport basi itoshe kusema ni WASENGEREMA na akili zao Hazina akili kabisaa! Kwa hiyo walitaka Mbowe asilipwe fedha zake alizodhulumiwa na yule Shetani wa Chato! Au akilipwa amtukane Rais ili awe mpinzani kweli?! They should learn to give credit where it is due!