Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

Wafuasi wa Mbowe, Lissu na wapinzanimaslahi wengine wangefuata huu ushauri wangekuwa wametumia muda wao vizuri kwa kufanya mambo yenye manufaa kwao na familia zao. Ni uendawazimu kukubali kutumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi.
Infact tuliwaonya sana kuhusu kushabikia agenda za wanasiasa. Hawakusikia
 
lini vijana wa chadema wamemuhoji mbowe kuhusu kubadili badilika misimamo yake
Umewakosea sana vijana wa CHADEMA kuwafananisha na vijana wa CCM, Kama umezaliwa mwaka jana basi sio kosa lako.
 
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Tumia akiri au soma uzi Tena. Unaambiwa alifungia account watu kwa fujo au kihunihuni halafu unazema ni mzalendo. Au huelewi maana ya uzalendo. Aliua watu aliingiza uchumi icu halafu eti Ni mzalendo au wa chato kwa kuwa aliwajengea uwanja wa ndege ambao Sasa ni useless
 
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
mzalendo ni nyerere hiyo takataka ya pili iondoe hapo
 
Leo hapa kwa mara ya kwanza umeandika upuuzi mtupu.
Niatakuchukulia kama wapuuzi wengine tokea sasa.
Wewe ni mpuuzi na mjinga usiye na akili hata moja, kuanzia siku nyingi nilishakuchukulia kama ni fala kupita kiasi.
 
Sasa mkitaka kuweka sherehe account ya Mbowe kuendelea kuzuiliwa. Kuwa mpinzani Ni kuishi kwa mateso kipindi chote ama
 
Hivi mtu amfungie mwenzie akaunti zake, avunje mashamba yake, club yake, afungie gazeti lake, bado unamuita mzalendo. Duh hii kali
usiwe kiazi mbatata,unategemewa na familia.

kama ilikuwa haki halali ya mwenyekiti mbona afunguliwe ashukuru kama kipofu kaona mwezi!!!
 
Wewe ni mpuuzi na mjinga usiye na akili hata moja, kuanzia siku nyingi nilishakuchukulia kama ni fala kupita kiasi.
Basi ni sahihi nikisema wewe ni chizi na siyo "mpuuzi" kama nilivyosema hapo mwanzo, maana sifa hiyo ndiyo inayolingana na maneno uliyoandika kwenye mstari huo hapo juu.
Zitto jr, kawa field 'marshalll' (?)
Bure Kabisa.
 
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.


Kwanza wanakiri kuwa akaunti ni za Mbowe na Lissu naye amelipwa stahiki zake halali, sasa nongwa ipo wapi? Walitaka Mbowe asifunguliwe akaunti zake? Na Lissu asilipwe stahiki zqke?
 
Kwanza wanakiri kuwa akaunti ni za Mbowe na Lissu naye amelipwa stahiki zake halali, sasa nongwa ipo wapi? Walitaka Mbowe asifunguliwe akaunti zake? Na Lissu asilipwe stahiki zqke?
walipambana kibinafsi zaidi sio kwa maslahi ya taifa, mbowe kutoka jela ni giza nene, huwezi jua ni kipi chengine walikubaliana na mama, toka mbowe atolewe jela katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni ndoto kuidai
 
Mbowe alikuwa moja ya wakosoaji wakubwa wa magufuli.
leo anamsifia Samia.
Anamsifia Samia kwa lipi jema?
Hivi uongozi wa Magufuli na wa Samia uko sawa ? Kama uko sawa 100% basi Mbowe kakosea sana kumsifia Samia,Ila kama hauko sawa basi inawezekana atakuwa amemsifia kwa huo utofauti za uongozi.
Binafsi naona ni afadhali uongozi wa Samia kuliko wa Magufuli,natamani Magufuli angekuwa hai aone uongozi wa aliyekuwa msaidizi wake, Magufuli alifaa kuwa makamu wa Samia na sio kuwa rais.
Kuhusu vijana wa Chadema kuunga mkono kila anachofanya mwenyekiti wao sio Kweli,mimi sikuwahi kukubaliana na suala la lock down kipindi cha corona,katika hili nilikuwa upande wa Magufuli, lakini vijana wa CCM kila atakachosema rais/Mwenyekiti wao wanapongeza,anaweza akatoa tamko asubuhi likapongezwa kwa mbwembwe na ikifika jioni likatenguliwa bado wakapongeza.
 
Back
Top Bottom