wanasiasa.
Ziko nchi zina Katiba nzuri sana kwa macho lakini hazina amani, ustawi, maendeleo kutuzidi sisi wenye Katiba "mbovu".
Wanasiasa walio nje ya Serikali wanataka Katiba mpya ili waweze kuingia kwenye madaraka.
Wanasiasa walio ndani ya Serikali hawataki Katiba mpya kwa vile itawatoa madarakani.
Hapa wananchi wanatumiwa tu kama conduit ya kukidhi mahitaji ya wanasiasa wote walio ndani na walio nje.
Yasemekana matakwa ya Katiba mpya yalionekana tangu mwanzoni mwa 1990 kupitia tume mbalimbali kama ya Jaji Nyalali na ya Jaji Kisanga. Ni miaka 32 sasa tumeishi na Katiba "mbovu".
Ina maana toka tupate uhuru mwaka 1991 ilituchukua miaka 29 kujua kuwa tuna Katiba "mbovu". Lakini tumekaa miaka 32 na Katiba "mbovu" na maisha yanasonga.
Tutafakari sana tunachohitaji tunaweza kupata kitu cha ajabu tukaijutia tunayoiita Katiba "mbovu". Mkataa pazuri pabaya panamsubiri
Quote Reply
Report Edit Delete
Reactions:
dos.2020
[IMG alt="Ileje"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/64/64110.jpg?1328523793[/IMG]
JF-Expert Member
Madaraka ya Rais utayapunguzaje bila kuwa na katiba mpya?
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Ame and antimatter
[IMG alt="Ileje"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/64/64110.jpg?1328523793[/IMG]
JF-Expert Member