Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

EeeenHeee Heeeee!

Wewe upo wapi mkuu?

Nimeipenda hii stori yako kiaina, ila umesahau au umeacha kwa maksudi kuwataja hawa wanaolamba asali mchango wao katika "uvivu" wa hawa uliowataja.

Wewe ni mmoja kati ya walamba asali?

Kama wewe ni mtu mwenye utulivu wa akili, nategemea utapata fursa nzuri ya kuangalia kwa kina na undani wa haya niliyokuwekea hapa.
Kama wanalamba asali ndiyo ikufanye uache kazi zako. Wewe ndiyo wale mliofundishwa vibaya, Kwa hiyo utaacha kujiletea maendeleo ukitegemea na upewe asali? Basi una tatizo kubwa wewe, hao wanaolamba asali wamevunjiwa biashara zao wamepigwa, wamevunjwa miguu, wamepigwa risasi wakapona, wametobolewa macho. Sasa unataka kujilinganisha nao? Wewe ulikuwa mbunge ukanyimwa haki zako? Ulifundishwa vibaya, na utabaki hivyo hivyo lofa wewe usiye na mbele wala nyuma.
 
Ni sehemu gani ya Katiba au Mkataba wa kisheria unao sema Mbowe anapaswa kuangalia nchi?
Mbona wanaoangalia nchi wametajwa kwenye Katiba ni Rais, Jeshi, Polisi na TISS.

Usimtwishe Mbowe majukumu asiyostahili
Mbowe alijikubalisha mwenyewe kuwashawishi watanzania kwamba atawatetea kupata haki zao zikiwemo za kidemokrasia ndio mana alianzisha chama kufanya kazi hiyo, alipita kila mahali na kufanya makongamano mbali mbali na mikutano ya kisiasa na kampeni kwamba atawavusha watanzania kutokana na madhila yaliyokubuhu kutoka chama tawala ccm.

Leo inakuwaje mtu huyo anakuja kujali maslahi yake binafsi akiwaacha watu ambao aliwajenga matumaini muda mrefu na watu kumkubali? Kama vipi atangaze hadharani kwamba ameacha siasa na sasa anaamua kushughulika na biashara zake uone nani atahoji Mbowe hivi au vile.

Shida kubwa ni kwamba mulimuamini sana Mbowe ndio mana kila anachokifanya bado mnaona anakupakeni mafuta mazuri mwilini., Mbowe wa saiv siye yule wa miaka 7 nyuma lazima ukubali, amewasaliti watanzania.
 
Ooh.basi Kama hauijui sifa yao kubwa ni kushikiwa akili na mwenyekiti wao.
Yaani anapoelekea mwenyekiti wao.na wao huko huko Wala hawahoji.
Siku akidai katiba mpya na wao wanadai siku akimsifia Samia na wao wanasifia.yaani BORA LIENDE
Naijua sifa ya MSUKULE tu
 
Ndiye yeye huyo huyo aliyekuwa anataka aungwe mkono katika kupigania Katiba mpya! Hiyo Katiba mpya aliyokuwa anataka watu wamuunge mkono kupigania ni ya ukoo wa Mbowe?
Akili za mbayuwayu changanya na za kwako (Kikwette)
 
Mbowe alijikubalisha mwenyewe kuwashawishi watanzania kwamba atawatetea kupata haki zao zikiwemo za kidemokrasia ndio mana alianzisha chama kufanya kazi hiyo, alipita kila mahali na kufanya makongamano mbali mbali na mikutano ya kisiasa na kampeni kwamba atawavusha watanzania kutokana na madhila yaliyokubuhu kutoka chama tawala ccm.

Leo inakuwaje mtu huyo anakuja kujali maslahi yake binafsi akiwaacha watu ambao aliwajenga matumaini muda mrefu na watu kumkubali? Kama vipi atangaze hadharani kwamba ameacha siasa na sasa anaamua kushughulika na biashara zake uone nani atahoji Mbowe hivi au vile.

Shida kubwa ni kwamba mulimuamini sana Mbowe ndio mana kila anachokifanya bado mnaona anakupakeni mafuta mazuri mwilini., Mbowe wa saiv siye yule wa miaka 7 nyuma lazima ukubali, amewasaliti watanzania.

Ziko nchi zina Katiba nzuri sana kwa macho lakini hazina amani, ustawi, maendeleo kutuzidi sisi wenye Katiba "mbovu".

Wanasiasa walio nje ya Serikali wanataka Katiba mpya ili waweze kuingia kwenye madaraka.

Wanasiasa walio ndani ya Serikali hawataki Katiba mpya kwa vile itawatoa madarakani.

Hapa wananchi wanatumiwa tu kama conduit ya kukidhi mahitaji ya wanasiasa wote walio ndani na walio nje.

Yasemekana matakwa ya Katiba mpya yalionekana tangu mwanzoni mwa 1990 kupitia tume mbalimbali kama ya Jaji Nyalali na ya Jaji Kisanga. Ni miaka 32 sasa tumeishi na Katiba "mbovu".

Ina maana toka tupate uhuru mwaka 1991 ilituchukua miaka 29 kujua kuwa tuna Katiba "mbovu". Lakini tumekaa miaka 32 na Katiba "mbovu" na maisha yanasonga.

Tutafakari sana tunachohitaji tunaweza kupata kitu cha ajabu tukaijutia tunayoiita Katiba "mbovu". Mkataa pazuri pabaya panamsubiri
 
Usipende kumchafua Mwalimu kwa kumuweka kwenye kundi
moja na huyo kichaa ambae
hakuna popote kuna
maandishi yake yakatumiwa
japo kwa kujifunzia..
Nyerere hakuwa malaika alikuwa binaadamu kama wengine hivyo alikuwa anakosea pia na ndio maana Tundu Lissu aliwahi kupata kuelezea makosa ya Nyerere ila ajabu mkaishia kumjia juu hamtaki akosolewe wala kulinganishwa na yeyote kwani amekuwa Mungu?
 
Sawa na binafsi namheshimu sana Mwalimu ila simkubali..

Sasa kumuweka kwenye kundi moja na huyo taahira sio sawa,yeye ana afadhari.
 
Mbowe ndio alikuwa anasifiwa humu kwamba hanunuliki pamoja na yote aliyofanyiwa ila hakuunga juhudi alichagua kutetea umma dhidi ya masilahi yake binafsi, ila sasa watu wanaona kama hiyo sifa ya kuchagua kupigania masilahi ya umma dhidi ya masilahi yake ni kama hali hiyo inalegalega watu mnakuja juu inaonekana tulitaka asipewe haki zake.
 
Sawa na binafsi namheshimu
sana Mwalimu ila simkubali..

Sasa kumuweka kwenye kundi
moja na huyo taahira sio
sawa,yeye ana afadhari.
Ni kutokana na mtazamo uliyopo kuhusu Nyerere kwenye hii nchi ndio maana unaona Nyerere hawezi kulinganishwa na huyo jamaa, ila wapo watu ambao humuona Nyerere alikuwa mtu wa hovyo kutokana na yale mapungufu yake kama ambavyo wewe unaona Jiwe ni mtu wa hovyo.
 
Kama wanalamba asali ndiyo ikufanye uache kazi zako. Wewe ndiyo wale mliofundishwa vibaya, Kwa hiyo utaacha kujiletea maendeleo ukitegemea na upewe asali? Basi una tatizo kubwa wewe, hao wanaolamba asali wamevunjiwa biashara zao wamepigwa, wamevunjwa miguu, wamepigwa risasi wakapona, wametobolewa macho. Sasa unataka kujilinganisha nao? Wewe ulikuwa mbunge ukanyimwa haki zako? Ulifundishwa vibaya, na utabaki hivyo hivyo lofa wewe usiye na mbele wala nyuma.
Leo hapa kwa mara ya kwanza umeandika upuuzi mtupu.
Niatakuchukulia kama wapuuzi wengine tokea sasa.
 
Akili za mbayuwayu changanya na za kwako (Kikwette)

Wafuasi wa Mbowe, Lissu na wapinzanimaslahi wengine wangefuata huu ushauri wangekuwa wametumia muda wao vizuri kwa kufanya mambo yenye manufaa kwao na familia zao. Ni uendawazimu kukubali kutumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi.
 
Ooh.basi Kama hauijui sifa yao kubwa ni kushikiwa akili na mwenyekiti wao.
Yaani anapoelekea mwenyekiti wao.na wao huko huko Wala hawahoji.
Siku akidai katiba mpya na wao wanadai siku akimsifia Samia na wao wanasifia.yaani BORA LIENDE
Hee kumbe! Unataka kuniambia akili zao kama za wafuasi wa CCM,ambao kila kitu wanapongeza ilmradi kiwe kimefanywa na mwenyekiti wao?
 
wanasiasa.

Ziko nchi zina Katiba nzuri sana kwa macho lakini hazina amani, ustawi, maendeleo kutuzidi sisi wenye Katiba "mbovu".

Wanasiasa walio nje ya Serikali wanataka Katiba mpya ili waweze kuingia kwenye madaraka.

Wanasiasa walio ndani ya Serikali hawataki Katiba mpya kwa vile itawatoa madarakani.

Hapa wananchi wanatumiwa tu kama conduit ya kukidhi mahitaji ya wanasiasa wote walio ndani na walio nje.

Yasemekana matakwa ya Katiba mpya yalionekana tangu mwanzoni mwa 1990 kupitia tume mbalimbali kama ya Jaji Nyalali na ya Jaji Kisanga. Ni miaka 32 sasa tumeishi na Katiba "mbovu".

Ina maana toka tupate uhuru mwaka 1991 ilituchukua miaka 29 kujua kuwa tuna Katiba "mbovu". Lakini tumekaa miaka 32 na Katiba "mbovu" na maisha yanasonga.

Tutafakari sana tunachohitaji tunaweza kupata kitu cha ajabu tukaijutia tunayoiita Katiba "mbovu". Mkataa pazuri pabaya panamsubiri

Quote Reply
Report Edit Delete
Reactions:dos.2020
[IMG alt="Ileje"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/64/64110.jpg?1328523793[/IMG]

Ileje

JF-Expert Member​

Madaraka ya Rais utayapunguzaje bila kuwa na katiba mpya?

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Ame and antimatter
[IMG alt="Ileje"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/64/64110.jpg?1328523793[/IMG]

Ileje

JF-Expert Member​

Unapigia mbuzi guitar; blind followers wa wapinzanimaslahi hawawezi kukuelewa. Tumeshahubiri sana juu ya hili.
 
Mbowe ndio alikuwa anasifiwa humu kwamba hanunuliki pamoja na yote aliyofanyiwa ila hakuunga juhudi alichagua kutetea umma dhidi ya masilahi yake binafsi, ila sasa watu wanaona kama hiyo sifa ya kuchagua kupigania masilahi ya umma dhidi ya masilahi yake ni kama hali hiyo inalegalega watu mnakuja juu inaonekana tulitaka asipewe haki zake.

Watu wengine ni wa kuwaacha tu kama walivyo; akili zao wanazijua wenyewe. Mtu anapoteza haki zake wakati wa mapambano halafu akirudishiwa hizo haki anaweka silaha chini na kuona ushindi umeshapatikana. Yaani utadhani alianzisha mapambano ili apate alichokuwa nacho tayari!
 
Kwani vijana wa chadema na ccm Wana tofauti AKILI zao?

Back
Top Bottom