Diaspora mliopo Marekani tusaidieni kupata Arrest Warrant ya Samia na Wasaidizi wake katika Mahakama yoyote ya Marekani

Mlifanya vurugu mkataka kuigeuza Tanzania kama vile ni ghetto la masela, mmejifunza kwa njia ngumu sana hamtakuja kurudia tena utoto ule.
 
Reactions: Tui
Hapa umeonyesha jinsi ulivyo mweupe
Hujui historian wala siasa za dunia
Ni sahihi upigwe msasa na Kiranga
Kivipi? Baada ya Vita kuu ya Pili Japan imekuwa chini ya nani?

Korea kusini imekuwa chini ya nani kisera tangu vita ya Korea?

Kiranga ndo anifundishe mimi historia? Ninayeishi nikisoma historia ya dunia?
 
Kuna mahali nimeandika hivyo? Umenishangaza tumefikaje kutamani "Arrest Warrants" toka mahakama za Marekani.

Hii maana yake mfumo wa kidola hapa kwetu umeporomoka?
Maandamano wamesogeza tarehe mpaka wamechoka sasa wanakuja na huu ujinga mwingine wafungue tu kesi popote hapo USA, wakumbuke kuwa dada yao Mange pia kesi zake zinaanza kusikilizwa mwaka huu hapo hapo California.
 
Huyu CDF atakimbilia kujiua mwnyw, Trump aje ambebe Manyonyo na JK then Hawa wapuuzi wengine tutadeal nao wnyw tunawaweka kundi moja na chawa wa ccm
Bila kumsahau yule kinara wa Kmkm muuaji Haji Omar Kheir, ambaye kwa sasa ndiye mshauri wa Samuya ikulu
 
Bila kumsahau yule kinara wa Kmkm muuaji Haji Omar Kheir, ambaye kwa sasa ndiye mshauri wa Samuya ikulu
Baada ya Samuya kunyakuliwa na babu Trump, hao wapuuzi wengine n size yetu
 
Siku wakijichanganya waue raia wa Marekani, warrant of arrest itatolewa fasta!
 
Tanzania na Marekani hazina matatizo yoyote kwenye uhusiano wa kidiplomasia, mawazo ya Gen Z yanatamani kuona uharibifu unaikuta serikali ya SSH baada ya kukata kucheka na kima.
Kama hakuna matatizo imekuwaje Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuituhumu Serikali ya Samia kuwanyanyasa wananchi na wakristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…