Diaspora mliopo Marekani tusaidieni kupata Arrest Warrant ya Samia na Wasaidizi wake katika Mahakama yoyote ya Marekani

CCM itaondokaje madarakani?

Mimi nasema haiwezi kuondoka. Na sababu kuu ni Stockholm’s syndrome.

Kama unabisha, tuweke dau hapa….
Nakubaliana na wewe na ndiyo maana wengine tunapambana hiyo hali iondoke.

Wewe fikiria jinsi waalimu wa Tanzania wanavyobagazwa na CCM lakini ni wao huwa hushiriki kuisadia kubakia madarakani kiharamu.
 
Nakubaliana na wewe na ndiyo maana wengine tunapambana hiyo hali iondoke.

Wewe fikiria jinsi waalimu wa Tanzania wanavyobagazwa na CCM lakini ni wao huwa hushiriki kuisadia kubakia madarakani kiharamu.
Hata humu humu kuna watu wengi tu ambao walijifanya wameumizwa na mauaji waliyoyafanya CCM lakini sasa hivi wako mstari wa mbele kumshauri Samia!

Unamshauri Samia ili iweje? Ili afanye vizuri?

Stockholm’s syndrome ukichanganya na ujinga na upumbavu wa Watanzania, ni combination mbaya sana.
 
Halafu hawana consistency!! Walikua na hoja za ICC mara wamegeukia Marekani sijui kesho wataamka na kipi kingine!
 
Stockholm’s syndrome ukichanganya na ujinga na upumbavu wa Watanzania, ni combination mbaya sana.
Ndiyo utaluta mtu Hana ajira lakini anatoshia watakaoandana kuwa atawakata vichwa.

Ndiyo maana CCM hawampendi Lissu maana yeye ni mtu huru.
 
Mjinga ni wewe unayefikiri utawala huu wa kidhalimu unaonufaika nao unaweza kutolewa kwa njia nyingine zaidi ya msaada wa kimataifa.

Kwa akili zako unaewezaje kuutoa huu utawala wa kidhalimu unaonufaika nao? Ulio compromise taasisi zote hadi Katiba yenyewe?
 
Kuna mahali nimeandika hivyo? Umenishangaza tumefikaje kutamani "Arrest Warrants" toka mahakama za Marekani.

Hii maana yake mfumo wa kidola hapa kwetu umeporomoka?
Unauliza swali la kijinga saana mkuu.
 
Sio jambo la ajabu kwa madhalimu kuwadharau watu wanaopigania haki na ukombozi wa kweli kuwa hawawezi kuwafanya chochote.

Sio jambo la ajabu pia kuwaza watu wanaopiganiz haki na kweli kuwa wamechanganyikiwa. Historia inaonesha wanufaika wa mifumo ya udhalimu mnajaaga kiburi sana kiasi cha kudhani nyie ndo Mungu.

Nakuhakikishia tu. Nyakati hazipo upande wenu. Mwaka huu 2026 utaelewa tu
 
Acha kuvuta bangi bila kula, athari zake ni mandato ya hovyo kama haya
 
Another false dichotomy logical fallacy.

Kukataa Marekani waje kufanya regime change si kukataa msaada wa kimataifa, in fact hata si kukataa msaada wa Marekani.

Nimeeleza hapo juu kuwa Marekani wanaweza kuwa instrumental katika calibrated sanctions. Ila wewe hujui kusoma kwa ufahamu hujaelewa.

Tatizo lako huna nuance.

Unaona mtu akikataa Marekani kufanya regime change kakataa msaada wa kimataifa, as if msaada wa kimataifa unaishia Marekani. As if kukataa American led regime change ni kukataa msaada wa Marekani.

You have no nuance.

Kwa sababu wewe ni mjinga. Hujui historia, hunui gwopolitics, unaenda kwa fantasies tu.

Ndiyo maana kila siku unakuja hapa na habari za ndoto za Alinacha ambazo hazitekelezeki.

Mara wanajeshi wapindue, mara Wamarekani wamuondie Samia.

Ujinga mtupu.

Stupid desperate fantasies nakupa guarantee hizi hazitekelezeki.

Wewe utalialia hapa kila siku huna realistic action plan.

Stop the stupid fantasies.
 
Thibitisha mimi nanufaika na utawala huu.

Acha maneno matupu ya longolongo.
 
Hueleweki.

Unasema hukatai msaada wa kimataifa alafu unasema hutaki msaada wa marekani? Kwani msaada wa Marekani sio msaada wa kimataifa?

Kama mimi ni mjinga basi wewe ni mpumbavu.

Unavailable nakuja na habari za ndoto za alinacha, ndoto za alinacha kwa mujibu wa nani? Video vipi?

Kuna jitihada zimefanyika kuomba msaada wa Marekani na zimefeli hadi useme hayo?
 
We unaona wanayofanyiwa WaTanganyika kwenye Ardhi yao na hawa WASHENZI yanachekesha?
Mkuu Asante!
La kusikitisha zaidi ni tu so WaTanganyika wengi hawaelewi dhuluma tunayopitia.
Wa Pwani ile wanavuna na kupora kweli kweli kutoka Bara.

Mshike Elimu asiende zake - wengi waimba mapambio ni kukosa elimu na uelewa wanashabikia maovu
 
Labda wanachagua lesser evil kuondoa bigger evil.
 
Wewe ni confused element!!
 
Sio sieleweki, wewe ndiye huelewi.

Naweza kukataa habari ya Wamarekani kuongoza regime change Tanzania kwa kumkamata na kumshitaki Samia, nikataka jambo hili kifanywe na ICC, chombo cha kimataifa ambacho hakina makandokando ya national interest.

Huelewi nini hapo? Huelewi kuwa Marekani ina makandokando kibao katika geopolitics na kazi hii ikifanywa kupitia ICC unaindoa hayo makandokando ya national interests?

Umesoma historia ya Chile na Salavador Allende alivyoondolewa? Congo na Lumumba? Iran na Mosaddeqh?

Naweza kukataa habari ya Marekani kuongoza harakati za regime change Tanzania, lakini nikakubali Marekani kuweka vikwazo vilivyokuwa targeted kwa Tanzania, hususan hao viongozi.

Kwa nini unataka jukazinisha kuwa nikikataa regime change ya kuongozwa na Marekani tu tayari nineshakataa ushirikiano wowote na Marekani? This is a false dichotomy, only a simpleton can think like this.

Tatizo huna nuance, you are an "all or nothing at all" simpleton.

Ndiyo maana mpaka leo unaleta strategy za kijinga tu, mara wanajeshi wapindue, umeshindwa, mara Wamarekani wamuondoe Samia. Wewe umekuwa so desperate, unatapatapa na habari za ujinga mtupu.

Wewe unaota ndoto za alinacha kwa sababu hakuna kiongozi yeyote seriois wa Marekani anayezungumzia arrest warrant kwa Samia, hizi ni stories zenu za kufurahishana tu, huku Marekani watu wanaongelea kauli za kushutumu na labda habari ya kuangalia upya uhusiano na Tanzania, at most, maybe, maybe, wataweka vikwazo fulani.

Lakini habari ya arrest warrant Wamarekani hawajawapa umuhimu huo bado. Usijioe umuhimu ambao huna kwa Wamarekani.

Hususan kwa sababu hata nyie wenyewe hamjayapa mambo yenu umuhimu huo bado.

Mnawategea Wamarekani waje kuwaokoeni.

Ujinga mtupu.
 
Labda wanachagua lesser evil kuondoa bigger evil.
But that is a false dichotomy, kwa sababu ulimwengu hauishii Marekani.

Na hata hiyo lesser evil yenyewe, hapa wanafanya mental masturbation tu.

Hakuna kiongozi yeyote wa Marekani anayezungumzia arrest warrant ya Samia. Tanzania haina umuhimu huo kwa Marekani.

Sasa haya maongezi ya arrest warrant yanatoka wapi?

Ni habari za kujipa moyo kijinga tu.

Wabongo wanajua sana kupiga domo hapa JF, ukimuuliza huyo anayetaka arrest warrant kamuandikia Senator gani wa Marekani alifanyie kazi hili jambo, hata hajui kuwa anaweza kumuandikia Senator wa Marekani.

Ni habari za ujinga ujinga tu za kijiweni.
 
Umejiona ulivyo mjinga?

Ila sikushangai! Hivyo ndivyo watu mnaoishi kwa bahasha za madhalimu mlivyo. Mnajifanya mnaunga mkono juhudi za ukombozi nusu nusu na sio completely kwa sababu mnajua zikija kwenye ukamilifu wake zitaathiri ugali wenu.

Unaongeleaje suala la Arrest Warrant kuungwa mkono wa Marekani wakati ndo kwanza ni wazo nililolileta hapa?

Unapata wapi nguvu ya kukebehi wazo ambalo ndo kwanza limeletwa na halijaanza kutekelezwa?

Ndo mana nakwambia wewe huna audacity ya kusema chochote juu ya harakati za ukombozi maana ya mnufaika wa tawala hizi za kidhalimu zinazotukandamiza Watanzania.
 
Arrest Warrant inakuwaje habari ya kujipa moyo wakati ni wazo ndo limetolewa kwa ajili ya kufanyiwa kazi?

Tuache tuanze kufanya hizo jitihada, tupate hiyo Arrest Warrant kwenye Mahakama za Marekani alafu Serikali ya Marekani wakatae kuifanyia kazi ndipo uje kuleta kebehi zako za kushiba hela za rushwa za ccm humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…