Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Mbona tunajua ukilipwa elfu 47, elfu 45 yote ni kulipia bili na chakula. Kwa siku masaa mangapi? Ni nane kama huku au mawili matatu? Huku ukilipwa hata elfu 15 kwa siku end of the day expenses elfu mbili, huna maneno na mtu. Hamna aliyekuita nigger, hujasafisha choo cha public, hujatembeza mbwa wao. Utu VS pesa
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Na nitakupangishia kikorido (sio hata chumba) kwa mil 2 kwa mwezi. Mangi atakuuzia nyama elf 20 kwa kilo. Maembe dodo muuza genge atakuuzia elfu 7 moja.
 
Hawa akina dear spora.... Ukiangalia hoja zao unaona kweli kazi ipo.
 
Kabisa unadiriki kuandika nchi itajengwa kwa misaada!! Napata wasiwasi na elimu yako, wataalamu wa uchumi huko ughaibuni wanamini kuwa ujuwaji wa uchumi, ukipimwa na GDP = Consumption + Saving (saving=Investment), sasa investiment inaweza kutoka upande wa serikali ambayo ndio ujenzi wa hayo madaraja, kama nchi inauchumi uliowazi ndio tutaongelea mambo ya exports na importation, sasa sikuwahi kuona variable ya MSAADA katika kusaidia ukuwaji wa uchumi. Nchi haiendi kwa kuzungusha bakuli ulaya,shame on u!!
 
Wamachinga wetu huko ughaibuni. Mnaendeleaje?
Tumeona walioteuliwa wakaacha wake ughaibuni wakatusumbua sana na safari za kusalimia na graduation za watoto huko. Serikali ya sasa hamtaiweza na uzungu wenu wa kubandika. Kama mnataka U Dc wa pembezoni na wilaya mpya tutawaombea.
Lakini hamna track record ya kuverify utendaji wenu maana kazi mnafanyia kwingine.
Nyie njooni mnunue nyumba za NHC wapate hela. Hatutaki kubanana na sisi huku.
 
Huko ndo uozo wa awamu iliyopita, ambayo kiongozi wake Kila wiki tatu za mwezi alikuwa anakuja kula pizza na nyie huko ilhali huku home sisi hali zinazidi kuwa mbaya. No Maji,umeme Barbara n.k.

Sasa kama kuna tofauti mnaiona sasa hivi, kuweni wapole ndo tunajipanga tuwe kama nyinyi huko ughaibuni, yaani hata nyie mkija kutembea nyumbani msikumbane na kero za kuoga Maji chumvi, foleni n.k.

Kuweni wapole tu
 
Hii thread umeishikia bango sana, nakuuliza hivi aliyeianzisha unajua alichoongelea na kukilalamikia? Naona kama unatupeleka nje ya mada
 

Rudi nyumbani ILI utie akili
 
Halafu Rais amekataza kusafiri kwenda nje, wa nje awe wa nje, wa ndani awe ndani.

Sasa na nyie mnavyopenda nje akiwateua masharti mtayaweza? Au mtataka Kila mwisho wa mwezi muende kusalimia familia mlizozuacha ughaibuni? Haiwezekani
 
Wamezoea kuona vyaelea-wao hawajui kuunda-wakiona kinaelea wanakimbilia kukidandia.

Huko walipokimbilia kwenyewe walikimbilia baada ya kuona vimeundwa.

Pumzikeni tuu huko huko ngojeni tuviunde mje mdandie.
 
Diaspora mnatia aibu kwa kweli yaani ni kama vile hampo kwenye mustakabali wa Taifa hili, hizo DICOTA mnaendaga kuongeaga nini chenye tija? Tajeni japo viwili tu
 
haaaaaaaaaaaaaaaa@ diaspora wamekosa DIR! Kudadek mlisha zoe kira siku njomba nkwere yupo hapo mlipo mnakula bata, mimi nawakumbuka maana nilikuwa nikiwatumia kunitaftia madem, daaa nawamisi sana, ingawa kweli wengi wenu elimu zenu ni za kuunga, ila kazi ya kututaftia vijidem mliiweza sanaa!.sjui mtoa mada unanikumbuka mwenzio sipo tena white house, nipo nalima vitunguu, njoo nikuajir uendelee kuwa kuwadi wangu.ntakulipa hiyo47 kwa risaaa.
 
Kaeni hukohuko ugaibuni kwa sasa hatuwataki hadi baada ya miaka 10
 
Diaspora mida hii wameenda kubeba box wasubiri baadae kidogo waanze kurusha mawe
 


Diaspora na watu wake wanatakiwa kujipanga tena. Waje na Hoja ya kuwekwa kipengele cha kutambulika Wana Diaspora kwenye Katiba na sio Uraia pacha. Ndio maana waliangukia pua. Maana Hoja ya Uraia Pacha haikuwa na Support.
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
shame on you, hiyo elf 47 unayolipa kwa saaa unasave ngapi wakat hata ukifiwa na ndugu wa karibuhuwez kuhudhuria msiba, shame on you brainwashed usiyethamini nchi yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…