Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Mbona tunajua ukilipwa elfu 47, elfu 45 yote ni kulipia bili na chakula. Kwa siku masaa mangapi? Ni nane kama huku au mawili matatu? Huku ukilipwa hata elfu 15 kwa siku end of the day expenses elfu mbili, huna maneno na mtu. Hamna aliyekuita nigger, hujasafisha choo cha public, hujatembeza mbwa wao. Utu VS pesa
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Na nitakupangishia kikorido (sio hata chumba) kwa mil 2 kwa mwezi. Mangi atakuuzia nyama elf 20 kwa kilo. Maembe dodo muuza genge atakuuzia elfu 7 moja.
 
Hawa akina dear spora.... Ukiangalia hoja zao unaona kweli kazi ipo.
 
sasa nyinyi wala vumbi mnaojidai mna elimu iliyokamilika hata toothpick tu holaaaaaa. Nchi inajengwa kwa misaada. Badala mkimbilie kuwajengea wananch makazi mengi na bora pamoja na mfumo mzuri wa upatikanaji maji safi na salama manakimbilia miflaiova migorofa na midaraja kama ya kigambon.

Sasa iyo elimu yenu inawasaidia nini? Somen muelimike bana
Kabisa unadiriki kuandika nchi itajengwa kwa misaada!! Napata wasiwasi na elimu yako, wataalamu wa uchumi huko ughaibuni wanamini kuwa ujuwaji wa uchumi, ukipimwa na GDP = Consumption + Saving (saving=Investment), sasa investiment inaweza kutoka upande wa serikali ambayo ndio ujenzi wa hayo madaraja, kama nchi inauchumi uliowazi ndio tutaongelea mambo ya exports na importation, sasa sikuwahi kuona variable ya MSAADA katika kusaidia ukuwaji wa uchumi. Nchi haiendi kwa kuzungusha bakuli ulaya,shame on u!!
 
Wamachinga wetu huko ughaibuni. Mnaendeleaje?
Tumeona walioteuliwa wakaacha wake ughaibuni wakatusumbua sana na safari za kusalimia na graduation za watoto huko. Serikali ya sasa hamtaiweza na uzungu wenu wa kubandika. Kama mnataka U Dc wa pembezoni na wilaya mpya tutawaombea.
Lakini hamna track record ya kuverify utendaji wenu maana kazi mnafanyia kwingine.
Nyie njooni mnunue nyumba za NHC wapate hela. Hatutaki kubanana na sisi huku.
 
wee vp. Miflaiova halaf ndugu zako wanashindia viwavi?? Kwanini wasianze na vitu vya muhimu Kwanzaa? Haya mabas yaendayo kas matrilion yameteketea tena ya mikopo holaa bado wananch wako dodoma wanashindia viwav. Niambie bomba last ges holaa tena mikopo halafu cc hao hao wala viwavi na watoto wetu tunalipa kwa ajili ya MIJITU MISOMI MICHACHE. Kwanini wasiombe iyo mikopo wafanye
Huko ndo uozo wa awamu iliyopita, ambayo kiongozi wake Kila wiki tatu za mwezi alikuwa anakuja kula pizza na nyie huko ilhali huku home sisi hali zinazidi kuwa mbaya. No Maji,umeme Barbara n.k.

Sasa kama kuna tofauti mnaiona sasa hivi, kuweni wapole ndo tunajipanga tuwe kama nyinyi huko ughaibuni, yaani hata nyie mkija kutembea nyumbani msikumbane na kero za kuoga Maji chumvi, foleni n.k.

Kuweni wapole tu
 
unamaumivu makali ya ndani eeh. Denmark haijavamiwa kwa taarifa yako ninamchango mkubwa sn kwenye hii nchi. My credit and crime record is good nalipa 36% tax am eligible to take a mortgage na mkopo hata wa 700k DKK. I might be an academic dwarf my Brother but this small nation appreciate my efforts and contributions. Nyinyi endeleen kujenga mibomba ya gesi mibasi iendayo kasi huku wananch maji ya shida wanashindia viwavi
Hii thread umeishikia bango sana, nakuuliza hivi aliyeianzisha unajua alichoongelea na kukilalamikia? Naona kama unatupeleka nje ya mada
 
Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.

Rudi nyumbani ILI utie akili
 
Halafu Rais amekataza kusafiri kwenda nje, wa nje awe wa nje, wa ndani awe ndani.

Sasa na nyie mnavyopenda nje akiwateua masharti mtayaweza? Au mtataka Kila mwisho wa mwezi muende kusalimia familia mlizozuacha ughaibuni? Haiwezekani
 
Wamezoea kuona vyaelea-wao hawajui kuunda-wakiona kinaelea wanakimbilia kukidandia.

Huko walipokimbilia kwenyewe walikimbilia baada ya kuona vimeundwa.

Pumzikeni tuu huko huko ngojeni tuviunde mje mdandie.
 
Diaspora mnatia aibu kwa kweli yaani ni kama vile hampo kwenye mustakabali wa Taifa hili, hizo DICOTA mnaendaga kuongeaga nini chenye tija? Tajeni japo viwili tu
 
haaaaaaaaaaaaaaaa@ diaspora wamekosa DIR! Kudadek mlisha zoe kira siku njomba nkwere yupo hapo mlipo mnakula bata, mimi nawakumbuka maana nilikuwa nikiwatumia kunitaftia madem, daaa nawamisi sana, ingawa kweli wengi wenu elimu zenu ni za kuunga, ila kazi ya kututaftia vijidem mliiweza sanaa!.sjui mtoa mada unanikumbuka mwenzio sipo tena white house, nipo nalima vitunguu, njoo nikuajir uendelee kuwa kuwadi wangu.ntakulipa hiyo47 kwa risaaa.
 
Kaeni hukohuko ugaibuni kwa sasa hatuwataki hadi baada ya miaka 10
 
Diaspora mida hii wameenda kubeba box wasubiri baadae kidogo waanze kurusha mawe
 
Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.


Diaspora na watu wake wanatakiwa kujipanga tena. Waje na Hoja ya kuwekwa kipengele cha kutambulika Wana Diaspora kwenye Katiba na sio Uraia pacha. Ndio maana waliangukia pua. Maana Hoja ya Uraia Pacha haikuwa na Support.
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
shame on you, hiyo elf 47 unayolipa kwa saaa unasave ngapi wakat hata ukifiwa na ndugu wa karibuhuwez kuhudhuria msiba, shame on you brainwashed usiyethamini nchi yako!!
 
Back
Top Bottom