SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Mbwana Samatta mbona ana mchango wa taifa hili husemi?diaspora ni mzigo kama mizigo mingine tu. jitu limekaa ughaibuni miaka na miaka lakini halina mchango kwa taifa halafu linaibuka ooh nataka uraia pacha! kwa kipi?
Meck KhalfanMBWANA SAMATTA kiasi ametutoa kimaso maso! hao waliozamia miaka na miaka huko EU & US wana nini zaidi ya mitusi?
32-year-old Ninon Marapachi manages a $20 billion (Sh32 trillion) Hedge Fund for Merrill Lynch/Bank of America. She’s young, ambitious and brilliant. She’s also Tanzanian. How did she become a Wall Street playmaker? Read on to find out.MBWANA SAMATTA kiasi ametutoa kimaso maso! hao waliozamia miaka na miaka huko EU & US wana nini zaidi ya mitusi?
Mkuu wadiaspora wanao fanya mabadiliko Tanzania:hawajitangazi wala kulilia hapa JF.Kwa Mfano sekta ya umeme wa mianzi ya jua,Kilimo cha kisasa,Teknolojia ya habari,uwekezaji kwenye migodi ya madini Na yako mengi tu. Na ni Wazalendo kweli kweliLipi la maendeleo lilifanyika na diaspora wa Tanzania zaidi ya ku organize visherehe huko ugaibuni
Matatizo yako Mkuu unawahukumu wanadiaspora wote Kwa wachache walio kudharau Au waliokuchukulia kipenzi chako.Wako wengi ambao ni Wazalendo kuliko weye.Na wamefanya mambo mengi hapa Bongo bila kukujulisha weye.diaspora ni mzigo kama mizigo mingine tu. jitu limekaa ughaibuni miaka na miaka lakini halina mchango kwa taifa halafu linaibuka ooh nataka uraia pacha! kwa kipi?
Diaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!![/QUOTE
Wivu tu huna hoja..
Watanzania tunaumwa ugonjwa wa kutopendana, na sijui tiba sahihi ya ugonjwa huu ni ipi hasa. Timu ya Taifa ya Nigeria ikienda popote pale duniani huwa inakutana na wanigeria ambao wamejipanga vizuri sana katika suala la kuisupport super eagles kwa hali na mali
Wale diaspora wa Nigeria hawanyanyapaliwi wala kuonekana kama vile ni wasaliti kwa taifa lao. Sisi bado tuna ule ushamba wa kumuona mwenzetu aliyepo Marekani au Japan kama vile ana pesa nyingi sana, kama vile ni mtu wa ajabu sana.
Tunakuwa so inferior tunapoanza kuongelea masuala ya wenzetu waliopo nje ya Tanzania. Primitive mindset. Mtu anashindwa kabisa kuelewa kwamba yeye anaishi Tanzania kwa sasa, kesho au keshokutwa anaweza kuwa ni sehemu ya diaspora. Akawakilisha mawazo na nia za watanzania wenzake alionao huko nje. Tunapenda kujifanya wastaarabu lakini katika hili suala la kuwatazama vibaya wenzetu wanaoishi nje ya nchi, bado tunaonyesha dhahiri ushamba tulionao.
32-year-old Ninon Marapachi manages a $20 billion (Sh32 trillion) Hedge Fund for Merrill Lynch/Bank of America. She’s young, ambitious and brilliant. She’s also Tanzanian. How did she become a Wall Street playmaker? Read on to find out.
Mr Sherrif from Arizona
Hawa watu hawawezi kukuelewa na habari kama hizo. Wao wamezoea zao za tv(ziara za kushtukiza na kutumbuliwa majipu vipele).
Hapo ndipo wanaona mtu anafanya kazi ya maana.
Habari kama hizo kwenye link wengine hata hio lugha hawaielewi.
Mtu ukiwa nje ya nchi kwao kiroho kinawauma tu
hawana lolote.
Kenya dont have as near natural resources that we have but its economy is ahead of us.
One of the factors helping to boost kenya's economy is the flow of Remitance money.
Ninon Marapachi, 32: Dar’s own hedge fund wunderkind
Akili nyembamba siyo ndogo...kwani uliwahi kusikia wapi nchi ikakosa watu wanaoishi ughaibuni? ni picha zipi tunazozirusha? elimu tunayo nzuri sana, ila serikali yetu haipendi kufanya kazi na wataalamu bali wababaishaji tu, na wakurupukaji. siwezi kuacha kazi yangu nije kufanya kazi na watu wasioheshimu taaluma za watu, wakidhani kila kitu ni siasa. hatuwezi kufanikiwa kwa mtindo huo wakufikiri siasa zinasaidia kumdunga mgonjwa sindano,we are going astrayDiaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
Kwani uliambiwa kwamba ukitaka kutoa mchango kwenye nchi yako lazima urudi nyumbani?Heading haifanani na content. Rudi nyumbani kama kweli una hamu ya kutoa mchango wako. Maafisa wa ubalozi walioko DC na NY wanatosha.
Bora mbaki hukohuko, ulipwe 47 kwa saa wakati delivery hailingani, mnaweza slang tu.je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa